Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hata toilet paper ina afadhaliImagine hadi mkurungenzi wa TBC anateuliwa na Rais, hii katiba ni mbovu
Hongera sana mama, lkn anatakiwa awe anavaa hijjab ili liendane na jinaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bi. Asha Dachi Mbaruk ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Kabla ya uteuzi huu, Bi. Mbaruk alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Bi. Mbaruk anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Ayub Rioba Chacha ambaye amemaliza muda wake.
View attachment 3629088