Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Asalaam,
Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza tu.
Manara aache kelele nyingi yeye anajulikana yuko kundi gani sasa aache kulia lia ajikubali kuwa yeye anapesa sana kwa hio maskini hawamfai nadhani kijamiii inafahamika maskini na tajiri hawakai zizi moja maana watapata nini sasa si hasara tupu kwa tajiri mnufaika anakuwa maskini tu.
Manara ajipange sasa hivi aangalie wa kufanana nae tu hasa matajiri wenzake.
Tutamuimbia mletee mdhungu mletee mdhungu, hatujamalizaa aaah, hatujamalizaa aaah, we eee weeeh mletee mdhungu.
Mchuma janga hula na yeye.
Wadiz