Ashakum si matusi, Haji Manara atakimbiwa na mwanamke yeyote yule. Huu ndiyo ukweli

Ashakum si matusi, Haji Manara atakimbiwa na mwanamke yeyote yule. Huu ndiyo ukweli

Tuseme tu ukweli wanaume wote special group ni shida kuishi nao kwenye ndoa, special group kuanzia wenye ulemavu, waliolelewa na mama wa kambo hadi wanaume masikini....hawa watu huwa Wana inferiority complex sana, wanakera.

Sasa ile mitusi aliyokuwa anamtukana Yule binti huko Dubai, Nani angekubali dada Ake au binti yake abaki na Manara? Yani kisa umenipeleka Dubai ndo unitukane mitusi ya nguoni? Yule hawezi kuishi na mwanamke yoyote.
kumbe alimtukana?
 
Kwa hali yake hata hao anaowapata saivi siyo type yake kabisa,,,anatakiwa kupata wa hali ya chini zaidi ya hao.
 
Asalaam,

Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza tu.

Manara aache kelele nyingi yeye anajulikana yuko kundi gani sasa aache kulia lia ajikubali kuwa yeye anapesa sana kwa hio maskini hawamfai nadhani kijamiii inafahamika maskini na tajiri hawakai zizi moja maana watapata nini sasa si hasara tupu kwa tajiri mnufaika anakuwa maskini tu.

Manara ajipange sasa hivi aangalie wa kufanana nae tu hasa matajiri wenzake.

Tutamuimbia mletee mdhungu mletee mdhungu, hatujamalizaa aaah, hatujamalizaa aaah, we eee weeeh mletee mdhungu.

Mchuma janga hula na yeye.

Wadiz
Sasa manara ana utajiri gani?
Mahusiano huvunjika kwa sababu nyingi tu,in this case it has nothing to do with ones poverty/financial status,
 
Sio tajiri bwana ana pesà za kubadilishia mboga,haji ana inferiority complex akiweza kuimudu hyo Hali ataishi na wake vzr
Halafu Sasa asinunue upendo aache mwanamke ampende mwenyewe,Naheeda alimpenda haji Kwa dhati ila ndugu wa haji hawakumpenda na Ndo maana hajwahi fungua mdomo kusem kitu anamsitiri (ule ni upendo na heshima kwake),rubyna kaolewa la kua ni maji ya jioni ,alishawahi kua ex kakaa Dubai huko kafanya ya kuyafanya kashindwa wamerudiana wanajuana tabia, rushaina Bado katoto kale ,uteam mobeto ndo umempa Jina mpk kajulikana yogo akamtia mimba kamzalisha hawajaoana,haji kampapatikia Kwa kua mrembo(na alimpenda haswaaa)ila demu hakumpenda mwamba kwanza sio hadhi yake,Bado anaweza olewa na mwanaume wa kueleweka kuliko Hajj kama tu atapata anaemtaka
Haji aache papara atulie tu na rubina wake maana alipofika hakuna mwanamke anaejielewa atakubali amuoe tayari ana doa la ndoa Tano hiyo ni kasoro kubwa Sana Kwa ke au me
 
Tuseme tu ukweli wanaume wote special group ni shida kuishi nao kwenye ndoa, special group kuanzia wenye ulemavu, waliolelewa na mama wa kambo hadi wanaume masikini....hawa watu huwa Wana inferiority complex sana, wanakera.

Sasa ile mitusi aliyokuwa anamtukana Yule binti huko Dubai, Nani angekubali dada Ake au binti yake abaki na Manara? Yani kisa umenipeleka Dubai ndo unitukane mitusi ya nguoni? Yule hawezi kuishi na mwanamke yoyote.
Hapo Sasa halafu anamtukania mzazi wake kabisa,haji kuishi nae kaazi sanaa hata kama Binti alikosea hakuna mwanamke anaependa kuachwa ht miezi sita Bado ,haji ana shida na vile alivyo ndo kabisa yeye atulie tu dawa imuingie tushamjua tabia zake mbovu mbovu na ni mlevi mbwa haji akilewa mitusi km yote
 
Hizo nauli za Dubai angemkarabatia Baba Ake nyumba.
Ye anaenda kuzimia zimia nchi za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38]shenzi weeee eti anaenda kuzimia afu ye anakaaa masaki eti[emoji38][emoji125][emoji125]
 
Manara ana shule ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu mtupumzishe na heka heka, khaaaaah
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Leo huna pindi dogo
 
Back
Top Bottom