Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe alimtukana?Tuseme tu ukweli wanaume wote special group ni shida kuishi nao kwenye ndoa, special group kuanzia wenye ulemavu, waliolelewa na mama wa kambo hadi wanaume masikini....hawa watu huwa Wana inferiority complex sana, wanakera.
Sasa ile mitusi aliyokuwa anamtukana Yule binti huko Dubai, Nani angekubali dada Ake au binti yake abaki na Manara? Yani kisa umenipeleka Dubai ndo unitukane mitusi ya nguoni? Yule hawezi kuishi na mwanamke yoyote.
Hizo nauli za Dubai angemkarabatia Baba Ake nyumba.Amjengee baba ake nyumba nzuri kwanza
Eti uliona nyumba ya baba ake?Hizo nauli za Dubai angemkarabatia Baba Ake nyumba.
Ye anaenda kuzimia zimia nchi za watu🤣🤣🤣
Niliona huko mtaa wa insta, alipost....watu wakaanza kumwambia mkarabatie Mzee nyumbaEti uliona nyumba ya baba ake?
Baba yake alikua na pesa, kulikoni tena?Amjengee baba ake nyumba nzuri kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amjengee baba ake nyumba nzuri kwanza
Sasa manara ana utajiri gani?Asalaam,
Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza tu.
Manara aache kelele nyingi yeye anajulikana yuko kundi gani sasa aache kulia lia ajikubali kuwa yeye anapesa sana kwa hio maskini hawamfai nadhani kijamiii inafahamika maskini na tajiri hawakai zizi moja maana watapata nini sasa si hasara tupu kwa tajiri mnufaika anakuwa maskini tu.
Manara ajipange sasa hivi aangalie wa kufanana nae tu hasa matajiri wenzake.
Tutamuimbia mletee mdhungu mletee mdhungu, hatujamalizaa aaah, hatujamalizaa aaah, we eee weeeh mletee mdhungu.
Mchuma janga hula na yeye.
Wadiz
Manara ana shule ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kaenda shule lakini mambo yake sio smart.
Ngoja nikae hapa kusikiliza wenye kujua yanayoendelea huko mijini
Sio utani amesoma Mass Communication SAManara ana shule ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu mtupumzishe na heka heka, khaaaaah
Hapo Sasa halafu anamtukania mzazi wake kabisa,haji kuishi nae kaazi sanaa hata kama Binti alikosea hakuna mwanamke anaependa kuachwa ht miezi sita Bado ,haji ana shida na vile alivyo ndo kabisa yeye atulie tu dawa imuingie tushamjua tabia zake mbovu mbovu na ni mlevi mbwa haji akilewa mitusi km yoteTuseme tu ukweli wanaume wote special group ni shida kuishi nao kwenye ndoa, special group kuanzia wenye ulemavu, waliolelewa na mama wa kambo hadi wanaume masikini....hawa watu huwa Wana inferiority complex sana, wanakera.
Sasa ile mitusi aliyokuwa anamtukana Yule binti huko Dubai, Nani angekubali dada Ake au binti yake abaki na Manara? Yani kisa umenipeleka Dubai ndo unitukane mitusi ya nguoni? Yule hawezi kuishi na mwanamke yoyote.
[emoji38][emoji38][emoji38]shenzi weeee eti anaenda kuzimia afu ye anakaaa masaki eti[emoji38][emoji125][emoji125]Hizo nauli za Dubai angemkarabatia Baba Ake nyumba.
Ye anaenda kuzimia zimia nchi za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Leo huna pindi dogoManara ana shule ipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu mtupumzishe na heka heka, khaaaaah
Baadae dada, sahv nabwekaa vimbwetani hapa.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Leo huna pindi dogo