Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

weka link basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wahaya kama kijana gari alipigi starter mama yake na kijana huwa nampiga na maziwa yake mgongoni (mgongo wa kijana) ni sio jambo la siri!
 
Kuna watu wanauupng huu uzi kwakuw hawajawah kutana na changamoto
Ila ukiw na tatzo ukasumbuka nalo ki sayansi ikashndkn basi baada ya hapo kila mbinu utatumia...
My sei......
Cjawah ckia
Ilacwez bisha
Acha ntege ckio....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu!!! Huu inaonekana ni ushirikina sasa.
 
Wakati imani hizo zinaheshimiwa na kila mwafrika, hali ya Afrika ilikuwa bora sana kulikuwa hakuna mambo ya kishenzi tunayoyashuhudia leo.

Mapenzi ya jinsia moja, kama toto limezaliwa halina uwezo wa kusimamisha uume na hakuna njia yoyote ya kumuwezesha kusimama nn kinafuatia?

Afrika ile ya kishenzi na matendo yake ilikuwa bora , kuliko hii ya wasomi wanaoita yale ya kale kuwa ya kishenzi nadhani wanafurahia mapenzi ya jinsia moja.

Kizazi kipya busu nje nje wanaume kwa wanaume , wanawake kwa wanawake , tumeshuhudia mpaka harusi.

Afrika ile hawa ni wa kutupwa kwenye KORONGO REFU.
 

Kuna jamii moja Afrika, sikumbuki ni wapi. Asili yao ni wavuvi, kipindi cha masika kinavoishia wanaume huenda mtoni na kupiga punyeto na kumwagia manii zao kwenye mto.
 
Ushirikina at it's best! Nimehisi kinyaa baada ya kusoma aaargh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…