Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Nimekuelewa saana mkuu...hyo nguvu ya kuvuta naielewa!...kuna kipindi nilianza kujifunza nikahis ntakuwa mental....upande wetu sisi tunazaa zaisi watoto wa kiume..[emoji2][emoji2]basi dada yangu akaanza kusoma hiyo nguvu ya kuvuta .akaanza nunua nguo za watoto wa kike hana mimba...akatafuta na jina kbs la mtoto wa kike...! Alipoamua kubeba mimba akaleta mdada! Mie naijua sana hiyo power of attraction...kuna mhindi mmoja you tube ndo anaielezeaga poa sana..!.ni kweli kila kitu kinaanzia kwa ubongo aise! Bas mada imefungwa!
weka link basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wahaya kama kijana gari alipigi starter mama yake na kijana huwa nampiga na maziwa yake mgongoni (mgongo wa kijana) ni sio jambo la siri!
 
Kuna watu wanauupng huu uzi kwakuw hawajawah kutana na changamoto
Ila ukiw na tatzo ukasumbuka nalo ki sayansi ikashndkn basi baada ya hapo kila mbinu utatumia...
My sei......
Cjawah ckia
Ilacwez bisha
Acha ntege ckio....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza natanguliza Kuomba ( Kuwaombeni ) Radhi kama Maudhui na Uwasilishaji wa Mambo ambayo nataka Kuyagusia hata yatakuwa Mkwazo wa namna yoyote ile Kwako kama ukiyasoma ila nimeamua kuyaleta haya mambo Makuu mawili Kwenu hapa ili leo tuweze Kukata Mzizi wa Fitina.

Je, ni kweli kwamba.....

1. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kiume halafu akagundua kuwa Uume wake hakisimami kama cha Watoto wenzake au hata Mama akigundua kuwa Mwanae wa Kiume ambaye ameshabalehe ila amekumbwa na tatizo la Uume wake kutosimama basi huyu Mama Kisirisiri tu akiwahi kwenda nae Chumbani huyo Mtoto wake au akimvizia tu amelala Usingizi akigusisha Uke wake basi mara moja tatizo hilo la Mtoto wake linaisha na Uanamume wake unarudi / unakuwepo kama kawaida?

2. Kama Mama akizaa Mtoto wake wa Kike halafu akagundua kuwa ana tatizo la Kutopata Mtoto ( Ugumba ) au akipata Mimba ( Ujauzito ) inaharibika basi huyo Mama akimlazimisha huyo Binti yake avae Chupi zake au za Bibi yake au Shangazi yake au agusishe Maziwa ( Matiti ) yake katika sehemu za Siri za Mama yake ( Ukeni ) basi mara moja hilo tatizo linakwisha na kuwa Historia Kwake?

Wenye kujua zaidi au wenye Uzoefu na haya Mambo Mawili tajwa hapa tafadhali karibuni mfunguke ili nasi tuelimike zaidi.
Duu!!! Huu inaonekana ni ushirikina sasa.
 
Wakati imani hizo zinaheshimiwa na kila mwafrika, hali ya Afrika ilikuwa bora sana kulikuwa hakuna mambo ya kishenzi tunayoyashuhudia leo.

Mapenzi ya jinsia moja, kama toto limezaliwa halina uwezo wa kusimamisha uume na hakuna njia yoyote ya kumuwezesha kusimama nn kinafuatia?

Afrika ile ya kishenzi na matendo yake ilikuwa bora , kuliko hii ya wasomi wanaoita yale ya kale kuwa ya kishenzi nadhani wanafurahia mapenzi ya jinsia moja.

Kizazi kipya busu nje nje wanaume kwa wanaume , wanawake kwa wanawake , tumeshuhudia mpaka harusi.

Afrika ile hawa ni wa kutupwa kwenye KORONGO REFU.
 
Imani zetu nyingi za ki asili ni upumbavu, kuna baadhi ya nchi hapa Africa mazao yasipostawi shambani wanatumwa wanaume waende porini wachimbe vishimo waweke sehemu za sili wafanye mapenzi na ardhi eti wanafanya ardhi izae
najua watu watapinga hili nitaleta video kutoka youtube


Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna jamii moja Afrika, sikumbuki ni wapi. Asili yao ni wavuvi, kipindi cha masika kinavoishia wanaume huenda mtoni na kupiga punyeto na kumwagia manii zao kwenye mto.
 
Ushirikina at it's best! Nimehisi kinyaa baada ya kusoma aaargh!
 
Back
Top Bottom