Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
weka link basiNimekuelewa saana mkuu...hyo nguvu ya kuvuta naielewa!...kuna kipindi nilianza kujifunza nikahis ntakuwa mental....upande wetu sisi tunazaa zaisi watoto wa kiume..[emoji2][emoji2]basi dada yangu akaanza kusoma hiyo nguvu ya kuvuta .akaanza nunua nguo za watoto wa kike hana mimba...akatafuta na jina kbs la mtoto wa kike...! Alipoamua kubeba mimba akaleta mdada! Mie naijua sana hiyo power of attraction...kuna mhindi mmoja you tube ndo anaielezeaga poa sana..!.ni kweli kila kitu kinaanzia kwa ubongo aise! Bas mada imefungwa!
Sent using Jamii Forums mobile app