Sisi wafugaji na wavuvi tunamshukuru sana na hao wapiga kelele kule nje namuomba mhe Rais aangalie aya ya 14 na 15 sura ya 75 pale Mwenyezi Mungu aliposema bali kila nafsi ya mwanadamu inajuwa kile kilichofanywa na nafsi yake na kilichofanywa na ndugu yake, rais Samia achape kazi.