mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
nini maana yaneno hili nilimsikia mbunge akilisema eti ni hamu je ni hamu ya nini isijekuwa ni matusi maana wabunge hawa dizaini ya lusinde wamepinda
===========
===========
Ashki maana yake ni hamu. Mtu akikuuliza una ashki maana yake anakuuliza una hamu ila mara nyingi ni ya ku-do
Majnoon ni ukichaa, uwendawazimu. Mtu akikuuliza hal-anta mjnoon? anamaanisha wewe ni kichaa/mwendawazimu?
Kwa hiyo ashki majnoon ni kichaa cha hamu ya ku-do, kwa kiswahili rahisi tunasema ny.e.g.e mshindo.
Kuna ashki maziwa pia, waijua weye?
cc FaizaFoxy
===========
===========
Salaam wanaMMU!
Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.
Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?
Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!