Ashiki Majnoon ni nini?

Ashiki Majnoon ni nini?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
nini maana yaneno hili nilimsikia mbunge akilisema eti ni hamu je ni hamu ya nini isijekuwa ni matusi maana wabunge hawa dizaini ya lusinde wamepinda

===========
===========

Salaam wanaMMU!

Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.

Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?

Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!

Ashki maana yake ni hamu. Mtu akikuuliza una ashki maana yake anakuuliza una hamu ila mara nyingi ni ya ku-do

Majnoon ni ukichaa, uwendawazimu. Mtu akikuuliza hal-anta mjnoon? anamaanisha wewe ni kichaa/mwendawazimu?

Kwa hiyo ashki majnoon ni kichaa cha hamu ya ku-do, kwa kiswahili rahisi tunasema ny.e.g.e mshindo.

Kuna ashki maziwa pia, waijua weye?
cc FaizaFoxy
 
Kushikwa na nyege ...........wadudu kunyevua nyevua.................ila siamini sana nilichosema
 
Ashiki-Majnun

Haya ni maneno ya kiarabu/kihindi na maana yake ni hii:

Ashiki au Aashiqui (Urdu) = Pendo, Mapenzi, Mvuto, Hiba, ...

Majnun (Arabic) = Kupagawa, Kichaa, Hamnazo, Just crazy.

Kwa hiyo maana ya Ashki-Majnun ni Kupenda mpaka kuishiwa na akili au kupagawa.

Sikiliza huu wimbo wa Kihindi kuhusu mahaba ya aina hii:

https://www.youtube.com/watch?v=ViMND8ZkYB8
 
Ashki majnun maana yake halisi kuwa na hamu ya kitu au tamaa ya kitu fulani mpaka unaonekana mwendawazimu au umerukwa na akili....kwa mfano umetokea kumpenda na kumtaka mdada au mkaka kiasi kwamba uko tayari kufanya jambo lolote kumridhisha hata litaoneka kudhalilisha utu wako.....
Au umetokea kuwa mlevi wa sigara au pombe kiasi kwamba mpaka unatoroka ofisini ili mradi tu ukakate kiu yako...
 
Haaaa Kibajaji ndio nani huyo marejesho
kibajaji mbunge wa mtera Livingstone Lusinde alijifananisha na kibajaji kwani kwenye kura za maoni alimgaragaza mzee malecela pamoja na umaarufu na pesa na elimu yake,huyu kibajaji kaishia darasa la saba na mtihani hakufanya ,siasa bwana
 
Salaam wanaMMU!

Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.

Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?

Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!
Ashki maana yake ni hamu. Mtu akikuuliza una ashki maana yake anakuuliza una hamu ila mara nyingi ni ya ku-do

Majnoon ni ukichaa, uwendawazimu. Mtu akikuuliza hal-anta mjnoon? anamaanisha wewe ni kichaa/mwendawazimu?

Kwa hiyo ashki majnoon ni kichaa cha hamu ya ku-do, kwa kiswahili rahisi tunasema ny.e.g.e mshindo.

Kuna ashki maziwa pia, waijua weye?
cc FaizaFoxy
 
Ashki ni hamu

Majinuni ni mwendawazimu.....

jiongeze hapo....
 
Back
Top Bottom