Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Unatutia tu ashk majinun na hii thread....
agrr ushanipandisha ashiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatutia tu ashk majinun na hii thread....
Salaam wanaMMU!
Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon 😂😂😂 nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.
Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?
Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!
Sasa mkuu umejuaje ni kauli chafu wakati hujui maana yake?
Hapo kwenye red.Kama hujui maana yake mpaka ukaamua kuuluza jf jee umejuaje kama ni kauli chafu?na umejuajr kama inahusu mapenzi?Au ASHIKI MAJNOON INAKUSUMBUA?Salaam wanaMMU!Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini? Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!
Salaam wanaMMU!
Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.
Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?
Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!
Ashki maana yake ni hamu. Mtu akikuuliza una ashki maana yake anakuuliza una hamu ila mara nyingi ni ya ku-do
Majnoon ni ukichaa, uwendawazimu. Mtu akikuuliza hal-anta mjnoon? anamaanisha wewe ni kichaa/mwendawazimu?
Kwa hiyo ashki majnoon ni kichaa cha hamu ya ku-do, kwa kiswahili rahisi tunasema ny.e.g.e mshindo.
Kuna ashki maziwa pia, waijua weye?
cc FaizaFoxy
Salaam wanaMMU!
Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.
Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?
Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!
kibajaji mbunge wa mtera Livingstone Lusinde alijifananisha na kibajaji kwani kwenye kura za maoni alimgaragaza mzee malecela pamoja na umaarufu na pesa na elimu yake,huyu kibajaji kaishia darasa la saba na mtihani hakufanya ,siasa bwana
Mbunge gani alilisema