Ashiki Majnoon ni nini?

Ashiki Majnoon ni nini?

Story
Majnun fell in love with Layla. He soon
began composing poems about his love
for her, mentioning her name often. His
unself-conscious efforts to woo the girl
caused some locals to call him Majnun
(madman). When he asked for her
hand in marriage, her father refused as
it would be a scandal for Layla to marry
someone considered mentally
unbalanced. Soon after, Layla was
married to another man.
When Majnun heard of her marriage,
he fled the tribe camp and began
wandering the surrounding desert. His
family eventually gave up hope for his
return and left food for him in the
wilderness. He could sometimes be
seen reciting poetry to himself or
writing in the sand with a stick.
Layla is generally depicted as having
moved to a place in Northern Arabia
with her husband, where she became ill
and eventually died. In some versions,
Layla dies of heartbreak from not being
able to see her would-be lover. Majnun
was later found dead in the wilderness
in 688 AD, near Layla’s grave. He had
carved three verses of poetry on a rock
near the grave, which are the last three
verses attributed to him.
Many other minor incidents happened
between his madness and his death.
Most of his recorded poetry was
composed before his descent into
madness.
“
I pass by these walls, the walls of Layla
And I kiss this wall and that wall
It’s not Love of the walls that has
enraptured my heart
But of the One who dwells within them
”
It is a tragic story of undying love much
like the later Romeo and Juliet.
 
Salaam wanaMMU!
Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon 😂😂😂 nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.
Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?
Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!

Sasa mkuu umejuaje ni kauli chafu wakati hujui maana yake?
 
Salaam wanaMMU!Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini? Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!
Hapo kwenye red.Kama hujui maana yake mpaka ukaamua kuuluza jf jee umejuaje kama ni kauli chafu?na umejuajr kama inahusu mapenzi?Au ASHIKI MAJNOON INAKUSUMBUA?
 
Hivi hela za escrow mgao haujaanza tuu

Manake nasikia kulikuwa na estimation ya kila mtu kupata buku sita sh nane
 
Nashindwa hata cha kukujibu maana umeshahukumu kuwa ni kauli mbaya. Sasa unajuaje kama ni mbaya wakati hata Ashk majinoon huelewi ni ktu gani?
 
ashki ni hamu ya kufanya mapenzi au nyege. majnoon ni neno la kiarabu maana yake ni uendawazimu. maana yake ni nyege mshindo au uendawazimu wa mapenzi.ukiwa na ashki majinuun unaweza kubaka hata mbwa. kwa ufupi ni kuwashwa na nyege
 
Salaam wanaMMU!

Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.

Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?

Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!

Ashki maana yake ni hamu. Mtu akikuuliza una ashki maana yake anakuuliza una hamu ila mara nyingi ni ya ku-do

Majnoon ni ukichaa, uwendawazimu. Mtu akikuuliza hal-anta mjnoon? anamaanisha wewe ni kichaa/mwendawazimu?

Kwa hiyo ashki majnoon ni kichaa cha hamu ya ku-do, kwa kiswahili rahisi tunasema ny.e.g.e mshindo.

Kuna ashki maziwa pia, waijua weye?
cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Ashki maana yake ni hamu. Mtu akikuuliza una ashki maana yake anakuuliza una hamu ila mara nyingi ni ya ku-do

Majnoon ni ukichaa, uwendawazimu. Mtu akikuuliza hal-anta mjnoon? anamaanisha wewe ni kichaa/mwendawazimu?

Kwa hiyo ashki majnoon ni kichaa cha hamu ya ku-do, kwa kiswahili rahisi tunasema ny.e.g.e mshindo.

Kuna ashki maziwa pia, waijua weye?
cc FaizaFoxy

Umemaliza kila kitu mkuu. Comment yako inabidi tu ipandishwe juu na thread ifikie mwisho. Hii ndio maana halisi na umeielezea vizuri sana.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Salaam wanaMMU!

Nimekumbuka ile kauli chafu iliyotolewa na mbunge Lusinde ya Ashiki Majnoon nimebaki na swali nikaona sio mbaya nikalileta hapa kwa watu mliobobea kwenye vijikauli vya mapenzi ili tupate tafsiri halisi ya maneno haya.

Ashiki Majnoon na Ashiki nini tofauti yake?Majnoon ni nini?

Nisiwachoshe kwa bandiko refu karibuni!

Mimi niliangalia yote hii na hapa Lusinde unamwonea bali kauli hiyo ilitolewa na mbunge mmoja nafikiri ni kutoka Zanzibar baada ya wenzie kuanza kumzomea ndipo akasema hao wana ashk. Lusinde yeye alipoanza kuzomewa na Lema alimnyamazisha kwa kusema kuwa " Huyo namjua, kuna vitu alitaka kutoka kwangu lakini mimi huwa sifanyi michezo hiyo" akaongeza " mimi mwanaume mwenzio unanibania pua ili iweje" na kweli wote vwalifytata naye akaanza kuwatetea watuhumiwa wa Escrow kwa kwenda mbele
 
kibajaji mbunge wa mtera Livingstone Lusinde alijifananisha na kibajaji kwani kwenye kura za maoni alimgaragaza mzee malecela pamoja na umaarufu na pesa na elimu yake,huyu kibajaji kaishia darasa la saba na mtihani hakufanya ,siasa bwana

Mweee asante kwa kunielewesha......
 
Back
Top Bottom