Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Akifaulu hilo basi atakuwa amepiga hatua kubwa otherwise hela itarudi kwa mwenye nayoKweli mkuu maana ukishapata utanu mhindi anakugonga vizur
ππKwa iyo 30M imeisha hapo? Au kuna nyingine kabetia tena? π
WAhabeshSasa asilete sana ujuaji wa kujianika maana "wajuzi" watamuanua
Ili awe tajir kwa namna alivyopata hiyo pesa inatakiwa imchukue 5/9 years concestance and experience, hivyo anavyokurupuka aloo, ni bora atenge pia 15M akomae na mazao yote