Ashugulikiwe aliyepo nyuma ya Kagame na M23 yake kukomesha umwagaji damu mashariki ya DRC

Hakuna asiyewatambua kama wakongo, tatizo wao wanajiona wana haki ya kiutawala kama wanavyotawala Rwanda watusi 15% ya population.
 
... hicho kikao cha EAC&SADC ni cha hovyo mno maana Ruto, Museveni na Kagame tayari ni team moja inayoingia na ajenda isiyobadilika, Saa100 yeye tutarajie neutral, UNABAKI NA NANI UPANDE WA CONGO?
UPUUZI MTUPU, ... Tshisekedi apeleke wajumbe ambao maelekezo yao ni kusikiliza tu!
 
...... jeshi la Pamoja lipi hilo? ... hujuma itafanywa na vikosi vya Rwanda, Uganda & Kenya ambao watakaa kama watazamaji na ukizubaa unawahiwa!
 
Usiseme aliye nyuma ya Kagame, ni Kagame mwenyewe!
 
kumtaja sana,PK pekeake bila mshauri wake mkuu wa uchumi .....waziri mkuu tonny Blair nikumkosea
 
Ni kweli kabisa mkuu,maana wengi wanahangaika tu na harufu, badala kuuondoa tu mzoga,ambao umejificha lakini wajulikana,,ukiondolewa tu na harufu lazima itoweke,lkn japokuwa mzoga haugusiki kirahisi hivyo na huu mzoga ni zaidi ya mmoja mjue,sasa upi uanze kushughulikiwa!?,na kivipi?
 
Hakuna asiyewatambua kama wakongo, tatizo wao wanajiona wana haki ya kiutawala kama wanavyotawala Rwanda watusi 15% ya population.
Sio kweli, acha kuamini propaganda za kipuuzi, ni ukabila tuu na ujinga tuu
 
Kama ni mfaransa au mmarekani yuko nyuma ya kagame anyukwe tu. Hayo mataifa yaambiwe ukweli. Kushinda vita si lazima utumie madege ya kisasa na silaha zingine kali za hayo mataifa. Kuna mbinu nyingi za kumtimua mfaransa na mmarekani na yeyote aliyepo nyuma ya kagame kwenye mzozo wa congo. Nani anampa jeuri kagame pamoja na M23? Watimuliwe tu huko congo pamoja na maguvu yao
 
Ukiona hadi Mdude kauingilia mgogoro wa Kongo basi mgogoro huo unatakiwa umalizwe kwa njia za maongezi.
 
"I know the leader and I know the idiot" - PK.
If you are a leader and an idiot, it's the disaster" -PK.
 
Taifa gani la Africa mashariki na kusini ambalo sio kibaraka?.

Mobutu Seseko alitolewa madarakani na akina PK na M7 na kumuweka Desire Kabila, kwahiyo vibaraka walimtoa kibaraka mwenzao.

Waambieni viongozi wa DRC wanapoitaka Ikulu wasifanye maagano ambayo utekelezaji wake unawashinda.

Suluhu la Mgogoro wa DRC sio kumpiga PK au Rwanda, maana mgogoro ulikuwepo kabla hata ya PK kuwepo hapo Rwanda, Suluhu ya huo mgogoro ni kuwatafutia suluhu watutsi wa DRC.
 
Ukiona hadi Mdude kauingilia mgogoro wa Kongo basi mgogoro huo unatakiwa umalizwe kwa njia za maongezi.
... huwa nakuheshimu sana na najitahidi sana kutojibizana na wewe, lakini kwa hili la PAKA samahani, INATAKIWA TUFURUSHE NYAU MPAKA UGANDA IKAPUMZIKE!
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…