Ashugulikiwe aliyepo nyuma ya Kagame na M23 yake kukomesha umwagaji damu mashariki ya DRC

Usichokijua n kwamba tumeenda kupigana huku tukiwa hatujui tunachopigania na tunayepigana naye na anayetupiganisha. M23 kwa hakika ni jeshi la watutsi wenyewe na lipo kwaajili ya watsi na jeshi la congo lipo kwaajili ya sadc na mabeberu. Kagame mi sion amekaa upande gani.
 
Mataifa ya magharibi ndio yalio nyuma na miaka ijayo watakuja kuchapana kati ya mchina na mzungu kwenye kugombea madini ya Congo.Mchina anazidi kujitanua kimya kimya DRC
 
Wakati wa bunge la maazimio ya kushughulikia kashifa za uporaji wa pesa uliomuhusisha Waziri mkuu, Mh TAL alisema kuna watu waili wa kushughulika nao akasema " huyu tuna uwezo naye" i.e Waziri mkuu "tuanze naye".
Kagame ana back up ya Wezi wa Congo na huenda hata viongoziwa Congo pia ni vibaraka na wana ubia ila wametofautiana mbele ya safari. Ukiona mtu ana kiburi cha kutukana na kusema yuko tayari kwa confrotation ina maana ana back up ya siraha za Vibaraka qake na entel info watampatia. Ila anasahau Vita ni zaidi ya hivyo. TUANZE NAE huyu uko ndani ya uwezo wetu.
Ni kweli kushughulika na hao Vibaraka inahitaji mipango na ushirikiano mkubwa wa Afrika lkn ukiona hata AU iko sponsored nao hapo ni kwisha habari yake na wengine ni member wa AU. Huyu tuanze naye, asituletee shida EAC asilete roho ya chuki ya kikabila tuwachukie waafrika wenzetu wa kitutsi kwa ajili yake, na kila tukiwaona tunaona kama mapandikizi yake, pia wao wasijinasibu humu na kwingineko kama sehemu ya mkakati na wachache kutumiwa naye kwa manufaa yake huku wakileta chuki ya watu juu yao. Wajue hii roho sio ya Ki Mungu ikienea watutsi popote watakuwa tagert na hawatakuwa salama wakihofiwa kuwa spies wa Kqgame hii WAIKATAE tena kwa kuthibitisha kwa nia na vitendo kuwa si wahusika wa uhuni huu. Yeye ashughulikiwe kibinafsi kwa kuwa amechagua awe kibaraka. AKITUBU ASAMEHEWE maana ni mtoto wa Afrika mwenzetu
 
Gen. Kayumba Nyamwasa amesema hakuna taifa la nje linaloituma Rwanda kuiba madini Congo.
 
Mataifa ya magharibi ndio yalio nyuma na miaka ijayo watakuja kuchapana kati ya mchina na mzungu kwenye kugombea madini ya Congo.Mchina anazidi kujitanua kimya kimya DRC
Kayumba Nyamwasa amesema sio kweli.
 
Kuna kitu nimejaribu kuwaza. Nchi za Tanzania na Kenya haziwezi kumwekea vikwazo kwenye bandari kumlazimisha kumaliza hii vita?

Sioni kama ana njia nyingine kupitisha bidhaa zake mbali na Tanzania na Kenya.
Kenya haiwezi kuweka hivyo vikwazo.
 
HUKO TUENDAKO MBELE YA SAFARI KUNA UMUHIMU WA KUANZISHA JESHI LA SADCC LITAKALOKUWA NA NGUVU KUBWA KATIKA UKANDA HUU WA KUSINI NA SILAHA ZA KISASA KUKABILIANA NA VITISHO VYA WAKOLONI MAMBO LEO
°Mgawanyo, Tanzania ikapewa sekta ya elephantria, South ikipewa sekta to anga, wengine wakipewa marine n. k.
-Tunaelekea katika ulimwengu wa kimabavu hivyo sadcc ni budi ijipange sawasawa!
 
Umeandika vizuri sana. But dawa pekee ni assassination kumuondoa kabisa.
 
Kama viongozi wa Africa huwa wanakutana kujadili kundi la watu ambao hawawezi kuwakomesha basi haina maana ni Bora kutenga bajeti ya kumalizana na M23 kuliko liendelee kuwa endelevu kwa kuibuka kila wanapohitaji kufanya hivyo

Kitafutwe kiini Cha tatizo na jinsi ya kukimaliza munanikumbusha boko Haram hivi bado wapo
Wataalamu wa historia wamelala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…