Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
971
Reaction score
1,165
Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini!

Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu!

Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote.

Namshukuru Mungu naitwa baba.
 
Wiki iliyopita ht mimi nimepata kidume kwa mchepuko.

Yaan napeleka matumiz hadi nyumba kubwa imeanza kuyumba kwa kukisa baadhi ya huduma.

Nimenunua hadi baskeli akikua aendeshe
 
Hongera ndugu [emoji1431] karibu katika ulimwengu wa kulea watoto
 
Wiki iliyopita ht mimi nimepata kidume kwa mchepuko.

Yaan napeleka matumiz hadi nyumba kubwa imeanza kuyumba kwa kukisa baadhi ya huduma.

Nimenunua hadi baskeli akikua aendeshe
mhh
 
Back
Top Bottom