Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Mungu anifanyie wepesi.Jiandae kwa malezi, naamini umejipanga.
AiseeWiki iliyopita ht mimi nimepata kidume kwa mchepuko.
Yaan napeleka matumiz hadi nyumba kubwa imeanza kuyumba kwa kukisa baadhi ya huduma.
Nimenunua hadi baskeli akikua aendeshe
mhhWiki iliyopita ht mimi nimepata kidume kwa mchepuko.
Yaan napeleka matumiz hadi nyumba kubwa imeanza kuyumba kwa kukisa baadhi ya huduma.
Nimenunua hadi baskeli akikua aendeshe
Hongera ndugu [emoji1431] karibu katika ulimwengu wa kulea watoto