Asiaminike sana, system wengi huwa hawastaafu

Mara ACT marà narudi, mara si kosa kuhabarisha umma kinachoendelea mahakamani, mara nimenyimwa dhamana .....talalila nyingiiiii....
 

When it comes to your own safety it's well known that Don't Trust No One
 
Du.......!!!
A.k.a Mabere Marando Esquire
 
Embu Lamomy njoo na hapa
Mbona hamna code hapo P 😹

Hapo anaongelewa Madeleka yule polisi wa zamani aliyeamua baadaye kujiongeza kusomea sheria..!! Juzi kati walitengeneza sinema na washkaji zake wa veggies ili kuwaaminisha ufipa kwamba naye ni victim wa veggies ili ajipandikize huko mbele awavuruge…!!
 
Bahna ili picha la kihindi hatare alafu leo analipongeza jeshi la polisi kwa kuwa na weledi pindi walipomchukua
 
PM atafananisha ili tukio na drama kusahau lile la djumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…