Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Mbona Heche usemi ni wap toka alivyokua Mwalimu?Nimewaambia sana kuhusu huyo mtu.
Ni pandikizi la CCM Dola.
Ni Askari police.
Ni mtu wa Kipepeo mweusi.
Ni Mwanasheria.
Anataka kuaminika kwa watanganyika Aende CHADEM apate NAFASI awavuruge vibaya mno.
MADEREKA NI KIRUSI HATARI.
NIGUSE NINUKE.
Hilda NewtonMadeleke ni shushushu we huoni hii miezi ya karibuni amekuwa vocal sana ni ili ajijengee legitimacy then watengeneze picha kama hili aweze kupenetret upinzani shtukeni mazee.
Yeah japo Sinde na Ulimwengu ambao pia ni zao la humohumo raia wametokea kuwaamini 100%.Na anajitahidi kuweka imani aaminike,
System inaweza kukufunga hata gerezani miaka kadhaa uchunguze mtu fulan mfungwa au tukio fulan ndani,
Na ika ku harass sana huku nyuma ya mlango ikikupoza kiaina,
Wanaoona karibu wakakuamini na kukuweka kwenye Taasisi zao ,
Au mwanachama anayesumbua akahama chama tawala akaenda Upinzani, naye system ikasema nenda mchunguze, jiunge gombea ubunge huko huko
Suspect anyone trust no body
Britanicca
-Waanzilishi wote wa NCCR-Mageuzi.Mbona Heche usemi ni wap toka alivyokua Mwalimu?
Wakampeleka Sauti .
kiufupi Upinzani vimeo vingi sana.
Ali Kibao nilwona mjinga sana alivyojimaliza kwao akiamini kuna siri mule.
RiP kibao
Mbona Heche usemi ni wap toka alivyokua Mwalimu?
Wakampeleka Sauti .
kiufupi Upinzani vimeo vingi sana.
Ali Kibao nilwona mjinga sana alivyojimaliza kwao akiamini kuna siri mule.
RiP kibao
Kwenye hiyo game kuna kubadilishwa tu majukumu, siyo kustaafu.
Nitachungulia nikitulia Mkuu.Kuna clip moja utube inaitwa "dinner for few" inaeleza kwa kina ulichoandika
View: https://youtu.be/HTDdIO74BuA?si=ooak01JTPmiahHvP
Kwanini asiwe mwenye Kesi ya Uhaini?Made"leka"tudigide.
Yaani wewe ndio UMEMALIZA wajinga wengi ukiwaambia hawaelewi somoTatizo kubwa nililoligundua kwetu sisi watanzania wengi, ni mfumo wa elimu yetu unaotulazimisha tukariri zaidi tunachofundishwa darasani kwa ajili ya kufaulu mtihani badala ya kuelewa concepts tunazofundishwa ili tuzitumie katika maisha yetu ya kila siku
Kwa mfano; ukifuatilia historia ya kuanzishwa kwa vyama vingi Tanganyika/Tanzania vitabu vya historia vimeandika wazi kabisa kuwa ilikuwa ni kutekeleza masharti yaliyotolewa na UNO (UN) pamoja na IMF ili waweze kuendelea kusaidia serikali
Kwa msingi huo unategemeaje kukutana na vyama halisi vya upinzani?
Vyama vingi vilianzishwa kwa "malengo ya serikali" hivyo serikali haijawahi kuacha kutupia macho yake huko kila siku kuangalia visitoke nje ya malengo ya kuvianzisha
Itachukua miaka mingi sana "macho ya serikali" kutoka kwenye hivi vyama pinzani
Wakati "Mwenyekiti" yuko "on fire", niliwahi kuwaambia watu huyo mtu atashughulikiwa muda si mrefu kwasababu ni kama anataka kujenga taasisi imara kupitiliza vipimo wanavyopimiwaga, tukabishana sana. Sasa kiko wapi!!
Na anaweza akawa mwenye Kesi ya Uhaini. Mara hakuna Uchaguzi Mkuu! Mara atakinukisha ili mradi atimize maelekezo! Ahahahahaha!!Mara ACT marà narudi, mara si kosa kuhabarisha umma kinachoendelea mahakamani, mara nimenyimwa dhamana .....talalila nyingiiiii....
check and Balance hao.Yeah japo Sinde na Ulimwengu ambao pia ni zao la humohumo raia wametokea kuwaamini 100%.
mbumbumbu watapita kama wanaaga maiti.Tatizo kubwa nililoligundua kwetu sisi watanzania wengi, ni mfumo wa elimu yetu unaotulazimisha tukariri zaidi tunachofundishwa darasani kwa ajili ya kufaulu mtihani badala ya kuelewa concepts tunazofundishwa ili tuzitumie katika maisha yetu ya kila siku
Kwa mfano; ukifuatilia historia ya kuanzishwa kwa vyama vingi Tanganyika/Tanzania vitabu vya historia vimeandika wazi kabisa kuwa ilikuwa ni kutekeleza masharti yaliyotolewa na UNO (UN) pamoja na IMF ili waweze kuendelea kusaidia serikali
Kwa msingi huo unategemeaje kukutana na vyama halisi vya upinzani?
Vyama vingi vilianzishwa kwa "malengo ya serikali" hivyo serikali haijawahi kuacha kutupia macho yake huko kila siku kuangalia visitoke nje ya malengo ya kuvianzisha
Itachukua miaka mingi sana "macho ya serikali" kutoka kwenye hivi vyama pinzani
Wakati "Mwenyekiti" yuko "on fire", niliwahi kuwaambia watu huyo mtu atashughulikiwa muda si mrefu kwasababu ni kama anataka kujenga taasisi imara kupitiliza vipimo wanavyopimiwaga, tukabishana sana. Sasa kiko wapi!!
vp kushusu J Mnyika?Na yule ni polisi sidhani hata kama kazi yenyewe kaacha, kwani kuna polisi ambao hawana sare wala kituo wanafanya kazi taasisi zingine. Hao mtakuja kujua ni mwenzao labda akifariki na wenzao kuja kutangaza msiba wake na hadi namba yake ya kazi