Asif Rahman aliyekuwa C.I.A, akiri kuvujisha siri za mipango ya Israel kuishambulia Iran

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran.

Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba.

Alijaribu kuficha kuhusika kwake kwa kufuta gigabytes 1.5 za data kutoka kwa mfumo wa Siri ya Juu wa CIA.

Ni Raia Muislamu wa Marekani na mfanyakazi wa CIA tangu 2016, Rahman anakabiliwa na hadi miaka 10 kwa shtaka la kwanza na miaka mitatu kwa la pili, huku hukumu ikiwekwa Mei 15.
20250118_100127.jpg
 
View attachment 3205064
Aliisaidia Iran kuepuka shambulizi kubwa na baya.
 
Huyu alireta mahaba hakaisahau amerika kama ni dubwana kubwa kuliko..........unakimbilia Cambodia kweli?? Kira siku wanaigiza mapicha yao unaona kabisa Cambodia wanavyokula mkong'oto na wewe tena unaenda huko huko..............ama kweli sikio la kufa hufa tu hata kama unasikia
 
Hahaha kwli anachekesha
 
Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran.

Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba.

Alijaribu kuficha kuhusika kwake kwa kufuta gigabytes 1.5 za data kutoka kwa mfumo wa Siri ya Juu wa CIA.

Ni Raia Muislamu wa Marekani na mfanyakazi wa CIA tangu 2016, Rahman anakabiliwa na hadi miaka 10 kwa shtaka la kwanza na miaka mitatu kwa la pili, huku hukumu ikiwekwa Mei 15.
View attachment 3205064
Sasa wamarekani nao hawana akili, muislamu unampa kazi na nafasi kwenye masuala ya siri zinazohusu ugaidi wa ndugu zake, unategemea nini.
 
Back
Top Bottom