Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Aliisaidia Iran kuepuka shambulizi kubwa na baya.Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran.
Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba.
Alijaribu kuficha kuhusika kwake kwa kufuta gigabytes 1.5 za data kutoka kwa mfumo wa Siri ya Juu wa CIA.
Ni Raia Muislamu wa Marekani na mfanyakazi wa CIA tangu 2016, Rahman anakabiliwa na hadi miaka 10 kwa shtaka la kwanza na miaka mitatu kwa la pili, huku hukumu ikiwekwa Mei 15.
View attachment 3205064
Ya pia ina prove kuwa hii viita imekaa kidini zaidi.Aliisaidia Iran kuepuka shambulizi kubwa na baya.
Unaambiwa hili shambuliz kama lisingevuja bhas lilikua lakikatili sana ikabid waje badae nashambuliz lakina mama lililojaa huruma nyingiAliisaidia Iran kuepuka shambulizi kubwa na baya.
Hakuna dini hapo.Ya pia ina prove kuwa hii viita imekaa kidini zaidi.
Mwamba alisahau umarekani na viapo alivyoapa CIA , kwa ajili tu ya chuki anayofudishwa juu ya muyahudi
Hahaha kwli anachekeshaHuyu alireta mahaba hakaisahau amerika kama ni dubwana kubwa kuliko..........unakimbilia Cambodia kweli?? Kira siku wanaigiza mapicha yao unaona kabisa Cambodia wanavyokula mkong'oto na wewe tena unaenda huko huko..............ama kweli sikio la kufa hufa tu hata kama unasikia
Sasa wamarekani nao hawana akili, muislamu unampa kazi na nafasi kwenye masuala ya siri zinazohusu ugaidi wa ndugu zake, unategemea nini.Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran.
Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo Novemba na baadaye kuletwa Guam, alikiri kupata, kuchapisha, na kuzigawa mnamo oktoba.
Alijaribu kuficha kuhusika kwake kwa kufuta gigabytes 1.5 za data kutoka kwa mfumo wa Siri ya Juu wa CIA.
Ni Raia Muislamu wa Marekani na mfanyakazi wa CIA tangu 2016, Rahman anakabiliwa na hadi miaka 10 kwa shtaka la kwanza na miaka mitatu kwa la pili, huku hukumu ikiwekwa Mei 15.
View attachment 3205064
Wanajitakia wenyewe haya yote.Sasa wamarekani nao hawana akili, muislamu unampa kazi na nafasi kwenye masuala ya siri zinazohusu ugaidi wa ndugu zake, unategemea nini.