Asigwa kapotelea wapi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utasikia... "wee muone hivyo hivyo, jamaa wa ninilii pale..." [emoji113] [emoji41]
Hahhaha hata mimi nshasafiria sana hiyo title[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mshikaji wangu alikuwa dereva wa ST kwahiyo sometimes alikuwa anakuja home tunaondoka, na nilikuwa sikai seat ya mbele nakaa nyuma kwenye tint
 
Nipo wakuu ni mzima wa afya, nilikuwa porini kidogo nafuatilia miradi yangu ndio maana sikuwa naonekana hewani, lakini pia baada ya kutoka porini nilikuwa najiandaa kwenda nje ya nchi kuongeza kaelimu kidogo, mambo yakawa yananibana sana.

Mungu awabariki sana, ntakuwa nachungulia humu mara moja moja.
 
Duu asavali umemaliza hiki kizungumkuti
 
Huko porini hakuna umbea wowote ulilokuja nao best πŸ˜€πŸ˜€
 
Eeeeh safi maana tulijua tayari washafanya yao upo nyuma ya nondo
 
hapana mkuu si hivyo. Asigwa Alikuwa anatuhabarisha current news tena latest hata za ndani huko serekalin na pia hata za udak. Dogo alikuwa smart kwenye posti zake. Hata michango yake ilijitosheleza. Tulikuwa tunamtania halali?

yaonyesha wamfahamu vizuri, umejuaje ni dogo?!
 
Wengine uamia ID zingine wakinogewa na wanavyochangia humu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15]
Unataka kunong'ona kuwa ma-tp huitumia sana "taito" tajwa? [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…