Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Labda salio la threads limeisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kunong'ona kuwa ma-tp huitumia sana "taito" tajwa? [emoji2]Hahhahahaaaa zamani ndio ilikuwa na soko hii title siku hizi mmhh
Wakati ule kila mtu mpaka uswazi hiyo ndio ilikuwa giaUnataka kunong'ona kuwa ma-tp huitumia sana "taito" tajwa? [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utasikia... "wee muone hivyo hivyo, jamaa wa ninilii pale..." [emoji113] [emoji41]Wakati ule kila mtu mpaka uswazi hiyo ndio ilikuwa gia
Duuuh aiseee pole yakekwa sasa yupo chini ya "uangalizi" wa wenye nchi kwa tuhuma za uchochezi
Hahhaha hata mimi nshasafiria sana hiyo title[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utasikia... "wee muone hivyo hivyo, jamaa wa ninilii pale..." [emoji113] [emoji41]
Duu asavali umemaliza hiki kizungumkutiNipo wakuu ni mzima wa afya, nilikuwa porini kidogo nafuatilia miradi yangu ndio maana sikuwa naonekana hewani, lakini pia baada ya kutoka porini nilikuwa najiandaa kwenda nje ya nchi kuongeza kaelimu kidogo, mambo yakawa yananibana sana.
Mungu awabariki sana, ntakuwa nachungulia humu mara moja moja.
Huko porini hakuna umbea wowote ulilokuja nao best 😀😀Nipo wakuu ni mzima wa afya, nilikuwa porini kidogo nafuatilia miradi yangu ndio maana sikuwa naonekana hewani, lakini pia baada ya kutoka porini nilikuwa najiandaa kwenda nje ya nchi kuongeza kaelimu kidogo, mambo yakawa yananibana sana.
Mungu awabariki sana, ntakuwa nachungulia humu mara moja moja.
Labda huu. ! manake siku hizi ndio habari ya mujiniHuko porini hakuna umbea wowote ulilokuja nao best 😀😀
Eeeeh safi maana tulijua tayari washafanya yao upo nyuma ya nondoNipo wakuu ni mzima wa afya, nilikuwa porini kidogo nafuatilia miradi yangu ndio maana sikuwa naonekana hewani, lakini pia baada ya kutoka porini nilikuwa najiandaa kwenda nje ya nchi kuongeza kaelimu kidogo, mambo yakawa yananibana sana.
Mungu awabariki sana, ntakuwa nachungulia humu mara moja moja.
Umbea wa mwendo kasi 😀😀Labda huu. ! manake siku hizi ndio habari ya mujiniView attachment 374891View attachment 374892[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umbea kilo mia 9[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umbea wa mwendo kasi 😀😀
R.I.P MADENGE...mnaleta mambo ya twanga pepeta kupaishana.. wapi papaa andunje
Mimi nilikuwa nimemmiss Mavipunda...mnaleta mambo ya twanga pepeta kupaishana.. wapi papaa andunje
hapana mkuu si hivyo. Asigwa Alikuwa anatuhabarisha current news tena latest hata za ndani huko serekalin na pia hata za udak. Dogo alikuwa smart kwenye posti zake. Hata michango yake ilijitosheleza. Tulikuwa tunamtania halali?
[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15]Nipo wakuu ni mzima wa afya, nilikuwa porini kidogo nafuatilia miradi yangu ndio maana sikuwa naonekana hewani, lakini pia baada ya kutoka porini nilikuwa najiandaa kwenda nje ya nchi kuongeza kaelimu kidogo, mambo yakawa yananibana sana.
Mungu awabariki sana, ntakuwa nachungulia humu mara moja moja.
Unataka kunong'ona kuwa ma-tp huitumia sana "taito" tajwa? [emoji2]