Asigwa kapotelea wapi?


Aisee hupo Braza au cruser ilikuchukua?
 
Usijali nimerudi ndugu yangu katika biashara
dah karibu sana aisee najua umekuja na kambinu mbadala Maana jamaa naye sometimes anakung'uta sio mchezo tukutane kule mkuu.
 
K
Kweli....
Atakua ndigu yangu maana avatar zafanana,na itanibidi niibadilishe ili niweke uyofauti..!!!
Ntatoa notice ya siku 7 ili nibadilishe
 
Ki ukweli mimi nimemumisslavuzi dada yangu kipenzi Masai dada

Popote pale ulipo jua kuwa kaka yako wa hiari bado naendelea kufa na utamu wangu kama muwa tu

Nimemiss uwepo wako masai dada [emoji24] [emoji24]
 
T 1990 ELY huyo mdau kapotea hatari naye.
Dah!!
nimemumiss sana huyu mdada

Yaweza kuwa kapotea kwa ID ya masai dada mkuu sunola

Masai dada kama una ID nyingine tafadhali nitafute maana si kwa kukumiss huku aiseeee!!
 
Dah!!
nimemumiss sana huyu mdada

Yaweza kuwa kapotea kwa ID ya masai dada mkuu sunola

Masai dada kama una ID nyingine tafadhali nitafute maana si kwa kukumiss huku aiseeee!!
kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…