Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Kuna mmoja hapo yupo na ID nyingine na ipo active sana humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja hapo yupo na ID nyingine na ipo active sana humu.
yupi huyoKuna mmoja hapo yupo na ID nyingine na ipo active sana humu.
Huyo florah msofe si huyo anayejiota muhat mpunga,
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji144] [emoji144] na mimi nasikia kuna watu wanagonga huko getini security camera inaonyesha kuna landrover nyeupe imepaki, ngoja niende mkiona kimya....! Mkiona kimya...![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124]
Kuna jamaa kakujibu katika post iliyofuatia.yupi huyo
Teh tehwatoto wakike ndo unawakumbuka sana
Nipo hapa mkuu. Kumbe unani missigi atiCute b naye simwoni mwoni hata Manka M
Aloo tena sio kidogo mkuu hasa kule kilingeni kwetu ndo tunakusomea namba kabisa.Nipo hapa mkuu. Kumbe unani missigi ati
Usijali nimerudi ndugu yangu katika biasharaAloo tena sio kidogo mkuu hasa kule kilingeni kwetu ndo tunakusomea namba kabisa.
dah karibu sana aisee najua umekuja na kambinu mbadala Maana jamaa naye sometimes anakung'uta sio mchezo tukutane kule mkuu.Usijali nimerudi ndugu yangu katika biashara
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mavipundamnaleta mambo ya twanga pepeta kupaishana.. wapi papaa andunje
Kweli....Ebwana wanaJF Mzuka!
Huyu dogo siku hizi haonekan kabisa humu. Tumemiss uwepo wake na posti zake na michango yake kwa kila jukwaa kwaanzia hum, Jukwaa la siasa, celebrity forums had huko Ugandan news hasa news za bomba la mafuta. Alikuwa anatiririka sana na kushusha nondo za uhakika.View attachment 374068asigwa nini kimekusib? Ni majukumu ama shem kakutait sana ama maandaliz ya kuamia Dodoma? Mbona kimya ama unaumwa (Mungu epusha) Ama unakuja na ID nyingine kama hii lakin nachelea kuamin nazan ni avatar zinafanana.View attachment 374070Tumekumiss sana asigwa
Ipo siku yakee tutamkomeshagadah karibu sana aisee najua umekuja na kambinu mbadala Maana jamaa naye sometimes anakung'uta sio mchezo tukutane kule mkuu.
kweli kabisa hata mimi namvutia kasi hapa.Ipo siku yakee tutamkomeshaga
Dah!!T 1990 ELY huyo mdau kapotea hatari naye.
kweli mkuuDah!!
nimemumiss sana huyu mdada
Yaweza kuwa kapotea kwa ID ya masai dada mkuu sunola
Masai dada kama una ID nyingine tafadhali nitafute maana si kwa kukumiss huku aiseeee!!