Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

Hivi ulishirikisha ubongi kweli wakati unaandika haya!!?!
Kwenda mahakamani!!!??
 
Hahaha......viongozi wengi hatujawachagua sisi
 
Binafsi kuna baadhi ya mambo aliyoyafanya magufuli mazuri na ya kupongezwa. Lakini katika hili la uchaguzi wa 2020 kwakweli mwamba alikosea na ili kuficha aibu akaweka na wabuge wa wa upinzani pamoja na kuvuliwa uanachama akaendelea kuwang'ang'nia.
Ilw aibu imefuta mazuri yoote aliyofanya.

Kwa kweli ukiwaza huwezi kujua Lengo lake lilikuwa nini hasa.
 
Hapo wanaongea na Mbunge aliyechaguliwa mwaka 2020, huyo mzee anazunguza uchaguzi wa mwenyekiti wao mtaa ambao nadhani ulikuwa mwaka 2019. Ni chaguzi mbili tofauti ila mleta mada unataka kuzifanya ni kitu kimoja. Ingekuwa ni hivyo, basi angemwambia huyo mbunge kuwa sisi hatukukuchagua wewe, ambaye ndiye aliyechaguliwa 2020
 
Ni kitu kimoja na matukio yalifanana
 
Ni uchaguzi wa mwaka gani haukuwa na dhulma?

Tangu 1995 wanaoshindwa uchaguzi chorus imekuwa hiihii tu.

Hakuna jipya hata 2025 ni wimbo uleule tu wa miaka yote.
 
Ni uchaguzi wa mwaka gani haukuwa na dhulma?

Tangu 1995 wanaoshindwa uchaguzi chorus imekuwa hiihii tu.

Hakuna jipya hata 2025 ni wimbo uleule tu wa miaka yote.
19 na 20 was beyond repair
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019 ulijaa uhuni ambao haujawahi kutokea tangia uhuru wa mwaka 1961.
 
Yaani Magufuli hafutiki kwenye midomo ya wabaya wake !
Na pia hatofutika kwenye mioyo ya wale wanaoitakia mema Inji hii !!

Ukiisikiliza na kuiangalia vizuri hiyo video utaona wazungumzaji wote walikuwa wametayarishwa vizuri na wamefundishwa nini cha kuongea πŸ˜…πŸ˜…πŸ™

Eti bwana Yai bovu na mwingine angeitwa bwana Nguo mbovu ! πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ™

Mtahangaika sana lakini HATUDANGANYIKI !!
 
Huyu mzee tungemchagua yeye angetujengea bwawa la umeme, SGR na kutuletea ndege mpya kutoka viwandani?
Una hoja za kijinga sana wewe. Kitu gani hujaelewa kutoka kwa wazee hao? Acha kujitoa ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…