residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hivi ulishirikisha ubongi kweli wakati unaandika haya!!?!
Kwenda mahakamani!!!??
Kwenda mahakamani!!!??
Nyie ngojeni muone mtakavyopigwa tena 2025. Wenzenu washaanza kupita kwa wananchi mapema. Ile kazi alopiga JPM si ya kitoto, hakutegemea tena pesa ya matajiri kupiga kampeni, wananchi waliona na wakajibu kwenye sanduku!! Kama mliibiwa basi fursa ilikuwepo kwenda mahakamani, vyombo hivi hivi mlikuwa mkienda na mlikuwa mnashinda kesi, utasikia "Kibatala aibwaga Serikali mahakamani, uchaguzi kurudiwa" hamjiulizi, mliibiwa nchi nzima? Mlikuwa mmesinzia?
Tatizo nyinyi hampo mashinani, vyama vipo makao makuu tu na kupiga blah blah na kupiga pesa za ruzuku na misaada. Wananchi hawana cha kukupimeni.
Pesa haiendi chini kujenga vyama vyenu!