Haya lala bibieVizuri pia.
Egooina omushaija?
Noikala nkaa?Ego
Aliyo.
Nakola milimo kagera.Noikala nkaa?
Hiyo hufanywa pindi mtoto akiwa bado mchanga mchanga niliona mama mmoja alikua anapenda kuwafanyia wanae nikamuuliza akasema kuwafanyia vile pia huchangia kutengeneza shepu ya mtotoHata jinsi ya kumfanya mtoto wa kike kuwa na shepu na Guu la bia, hebu tueleze hapo huo utaalam wao mkuu.
Oli munyamaanga wankaa?Nakola milimo kagera.
Ni munyamahanga.
Nisamehe bureOli munyamaanga wankaa?
Ego weitu nabakeisa bonebone ba tata ba mawe ba kaikuru wakaire banywani bange.
Na mushaija wange alimu nakushura
Mushaija Alimu umchiro yantera utumaizi buana
Weitu inye namanya luhaya katokato bojo
Nimekuelewa sana wala usijali.Nisamehe bure
Hili sitalijibu kwa usalama zaidi...
Naona unashusha nondo za uhakika. Nimeona bojo nikabaki kutabasamu tu.
Talikumanya kuchuga emana yawe ija owange oboneEgo
Aliyo.
Uko vizuri big up nkirudi bukoba ntakukaribisha nyumbani kwanguKidogo tu sio sana
Nilifanya kazi bukoba almost 5 years tena bushiiiiii ndani ndani kule ukiongea kiswahili wanakuogopaa ukipita wanakushishaa wanakupisha njia upite wewe kwanza hata wazee wanakupisha mswahiili lol
Nyumbani Nilizungukwa nao
Sokoni kihaya tu
Ofisini kihaya ndo kilitawala
Mitaani kihaya
Kanisani kihaya
Kila kona kihaya kihaya ukisalimiwa usiitikie wanakuona unaringa bila kujua tatizo lugha gongana
Automatic tu nikajifunza otherwise huduma nyingine huwezi pata bila kuongea nawatu
Kasinge muno...Olalegi