Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Status
Not open for further replies.
Hata jinsi ya kumfanya mtoto wa kike kuwa na shepu na Guu la bia, hebu tueleze hapo huo utaalam wao mkuu.
Hiyo hufanywa pindi mtoto akiwa bado mchanga mchanga niliona mama mmoja alikua anapenda kuwafanyia wanae nikamuuliza akasema kuwafanyia vile pia huchangia kutengeneza shepu ya mtoto
Nashindwa sijui nikuelezeje yani.....
 
Naona unashusha nondo za uhakika. Nimeona bojo nikabaki kutabasamu tu.

Ego weitu nabakeisa bonebone ba tata ba mawe ba kaikuru wakaire banywani bange.
Na mushaija wange alimu nakushura
Mushaija Alimu umchiro yantera utumaizi buana
Weitu inye namanya luhaya katokato bojo
 
Naona unashusha nondo za uhakika. Nimeona bojo nikabaki kutabasamu tu.

Kidogo tu sio sana

Nilifanya kazi bukoba almost 5 years tena bushiiiiii ndani ndani kule ukiongea kiswahili wanakuogopaa ukipita wanakushangaa wanakupisha njia upite wewe kwanza hata wazee wanakupisha mswahiili utakua mtu wa serikali wewe lol
Nyumbani Nilizungukwa nao
Sokoni kihaya tu
Ofisini kihaya ndo kilitawala
Mitaani kihaya
Kanisani kihaya
Kila kona kihaya kihaya ukisalimiwa usiitikie wanakuona unaringa bila kujua tatizo lugha gongana
Automatic tu nikajifunza otherwise huduma nyingine huwezi pata bila kuongea nawatu
 
Kidogo tu sio sana

Nilifanya kazi bukoba almost 5 years tena bushiiiiii ndani ndani kule ukiongea kiswahili wanakuogopaa ukipita wanakushishaa wanakupisha njia upite wewe kwanza hata wazee wanakupisha mswahiili lol
Nyumbani Nilizungukwa nao
Sokoni kihaya tu
Ofisini kihaya ndo kilitawala
Mitaani kihaya
Kanisani kihaya
Kila kona kihaya kihaya ukisalimiwa usiitikie wanakuona unaringa bila kujua tatizo lugha gongana
Automatic tu nikajifunza otherwise huduma nyingine huwezi pata bila kuongea nawatu
Uko vizuri big up nkirudi bukoba ntakukaribisha nyumbani kwangu
 
Mimi nilikamata mdada mhaya mwaka juzi aisee halfu alikuwa ana chogo la hatari aisee usipime nikawa nakula mpaka nikatosheka nikapiga chini
 
There's an old saying...The beauty is in the eyes of beholder.

Kwa Mimi sikubaliani na mtoa Mada 100%.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom