Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Status
Not open for further replies.
Wadada wa kihaya ni wazuri sana.
Niwaulize wadau hapa, je! uliwahi kukutana msichana yoyote wa kihaya asiyekuwa na mvuto?
Uzuri wa mtu unaujua wewe unaemuona ni mzuri,kuna watu hapa wazuri kwake ni wanyamwezi au wadigo
 
Umalaya hauna kabila jamani yawezekana ata wewe malaya sema hatukujui, au dada zako shangazi mjaomba au binamu tuhache kutukana watu bila udhibitisho kwa Mungu tutajiteteaje? Mrudie Mungu kabla haujanyoosha kidole angalia vingapi vinakurudia.kwani wanao jiuza wote wahaya mbona makabila yote yanausika? Na kwa uzuri binadamu wote wazuri mbaya ni maiti .
 
Kutiana bila mpangirio sio sifa unajichosha na kujizeesha unaonekana mzee kumbe ni mtoto mdogo fanya at least one mouth na ukajilinganishe na yula anae pandwa kama kuku uone. Fanya kwa afya sio kufanya ili mradi sio sifa na hakuna faida mhhh i don't know yawezekana watu tunayofautiana .msininukuu vibaya ila navyo jua mie ukiwa busy na mambo yako unaweza ukaweka mwili wako sawa sio kuuchosha kwa ngono na ukaishi vema. Walau ukawa unafanya mara moja moja .
 
Inategemea uzuri huyo unauangalia ktk maeneo gani manake mm najua uzuri ni zaidi ya sura na umbo la nje.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…