Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Status
Not open for further replies.
Habari kama hii bila picha ni sawa na chai bila sukari
 
Wahaya walio dar ndyo wazuri maana wanajitambua, cyo washamba na jiji lmewasaidia, nenda Bukoba ndyo utajua nasema nn however Kla kabila lna wanawake wazuri all in all mtazamo wko na choice yako inataka nn!!
Ushawahi kufika Tanga?, Zanzibar jee? Arusha vepe?
Nazani jbu unalo [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Physical appearance ni wa kawaida tu, hawana uzuri japo uzuri wa mtu upo machoni pa mwingine.

Nenda BKB uone walivyo wabaguzi, wanajikweza na kuona hakuna zaidi yao. Bahati nzuri nimepata kwenda kwao mara kadhaa, bkb ni pazuri lakini kwa ubaguzi wao huwezi kuishi kwa raha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom