mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
asifiye mvua imemnyea, kwa kweli sio siri ni wazuri, wana joto la kufa mtu. wana miili laini sana, sio unakuta mwanamke ana mwili mgumu unakwaruza utafikri ukurutu, au ana manyoya meengi utafikiri alitaka kuzaliwa mbuzi.