Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

Status
Not open for further replies.
asifiye mvua imemnyea, kwa kweli sio siri ni wazuri, wana joto la kufa mtu. wana miili laini sana, sio unakuta mwanamke ana mwili mgumu unakwaruza utafikri ukurutu, au ana manyoya meengi utafikiri alitaka kuzaliwa mbuzi.
 
Sikuwahi kuwaza kama naweza kukwama kwa Muhaya, ila hapa nilipo nahisi nimepatwa..
 
>>> Warefu Kidogo Weusi na Ka mkia Kadogo Wakitembea Mwe ! Mwe ! mwee ! >>
 
Wahaya wanamaumbile yakuvutia sana. Ngoja nitaweka picha ya demu wangu mumuone.
 
Lakini sio wote walikuwa wazuri kama bibi kidude, Prof. Wangari, walivyokuwa wazuri....! Au unamaanisha nini kusema "wazuri"
 
nimekutana na makabila mengi, lakina wahaya ni mwisho...!tangu hapo niligoma kuhamia kwingneko...

pili wanadamu moto ase, unaweza ukaenda 1*5
 
Mi nina jirani yangu mays. Ndio namwangalia vizuri ili nikujibu.
 
Hizo picha za wahaya zikuwapi ?wengine hatujawahi kuwaona ili niwalinganishe na viuno mnyooko vyakimakonde!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom