Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja ha hayo, ni wazuri sana!!Wana mahdarau sana
We muwanji nini?wanawake wote ni wazuri hakuna cha muhaya wala muwanji
Fallacy of generalization!Wadada wa kihaya ni wazuri sana.
Niwaulize wadau hapa, je! uliwahi kukutana msichana yoyote wa kihaya asiyekuwa na mvuto?