Asikudanganye mtu kuwa Umaskini ni jambo la Kujivunia. Jaribu utajiri uone raha yake

Asikudanganye mtu kuwa Umaskini ni jambo la Kujivunia. Jaribu utajiri uone raha yake

Kidukulilo a.k.a Bill luggie a.k.a kiduku kidogo 😁😁, sema tu post ya mwisho uliongea vitu vya muhim sana ila umerudi kwenye zako zile
 
Kuna mkubwa Fulani anaona umasikini Ni Jambo la kujivunia lkn muda wote Yuko kwenye kiyoyozi
 
Kuna mkubwa Fulani anaona umasikini Ni Jambo la kujivunia lkn muda wote Yuko kwenye kiyoyozi
sijui huyu chizi aliendaga wapi bwana,au alipelekwaga milembe akapona! Kama ni hivo basi nawalaumu madoctor kwa juhudi zao za kumponya coz ......
 
Back
Top Bottom