joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Duu hii kali yaani wanaolipa kodi kubwa hawapei kipaumbele.Viwanda vilikua na adha hii toka kipindi cha hayati. Kipindi cha hayati umeme mwingi ulikua unaelekezwa kwa wananchi na viwandani wanapewa kwa mgao. Viwanda vingi tu huko tanga vilifungwa.
Bado serikali yetu ina siasa chafu kwa kuyapa kipaumbele mambo yasiyo muhimu na kuacha muhimu yapite
Ila kweli ndio maana hata waziri wako alisema "zamani walikuwa hawakati umeme mara kwa mara sababu walikuwa hawafanyi schedule maintenance...."
Haya tuambie viwanda gani vilivyo fungwa VINGI huko Tanga?