joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Duu hii kali yaani wanaolipa kodi kubwa hawapei kipaumbele.Viwanda vilikua na adha hii toka kipindi cha hayati. Kipindi cha hayati umeme mwingi ulikua unaelekezwa kwa wananchi na viwandani wanapewa kwa mgao. Viwanda vingi tu huko tanga vilifungwa.
Bado serikali yetu ina siasa chafu kwa kuyapa kipaumbele mambo yasiyo muhimu na kuacha muhimu yapite
Mkuu, siwezi kutajia kwa majina yao lakini sadiki hilo. Pia unashangaa wanaolipa kodi kupunguziwa umeme?, Mbona wanaolipa kodi kubwa ndio waliokua wanafungiwa biashara zao na kufungwa lakini hukushangaa?Duu hii kali yaani wanaolipa kodi kubwa hawapei kipaumbele.
Ila kweli ndio maana hata waziri wako alisema "zamani walikuwa hawakati umeme mara kwa mara sababu walikuwa hawafanyi schedule maintenance...."
Haya tuambie viwanda gani vilivyo fungwa VINGI huko Tanga?
Brother sio mkaaji wa Tanga ila nina ndugu zangu Tanga na tembea mara kwa mara huko kuwaulia so nitajie kiwanda kilicho fungwa au na ww ulisimuliwa ukalibeba kama lilivyo?Mkuu, siwezi kutajia kwa majina yao lakini sadiki hilo. Pia unashangaa wanaolipa kodi kupunguziwa umeme?, Mbona wanaolipa kodi kubwa ndio waliokua wanafungiwa biashara zao na kufungwa lakini hukushangaa?
Kama hujiulizi hayo, basi bado una mengi ya kujifunza kuhusu siasa za Tanzania.
Mkuu nimefurahi sana kwa kusema hupendi siasa kwa kua ni uwongo bila shaka utakua unapenda kufanya tafiti pia. Basi nakuomba ukipata muda pitia ripoti za CAG Profesa Assad utapata mwanga wa ninacho maanishaBrother sio mkaaji wa Tanga ila nina ndugu zangu Tanga na tembea mara kwa mara huko kuwaulia so nitajie kiwanda kilicho fungwa au na ww ulisimuliwa ukalibeba kama lilivyo?
Siasa za Tanzania ni uongo na ndio maana ww ukaubeba kama ulivyo, so siasa za uwongo mimi siwezi kuzielewa sababu napenda kuhoji na ndio maana nikakuuliza viwand vya Tanga vipi vitaje?
Brother mbona Simple nitajie viwanda vilivyo fungwa Tanga?Mkuu nimefurahi sana kwa kusema hupendi siasa kwa kua ni uwongo bila shaka utakua unapenda kufanya tafiti pia. Basi nakuomba ukipata muda pitia ripoti za CAG Profesa Assad utapata mwanga wa ninacho maanisha
Pia, angalia na jiulize kwanini mapato ya TANESCO yalishuka ipasavyo kuanzia 2017- 2020 kama walikua wanauza umeme kwa viwanda ambayo umesema ndio walipa kodi?
Naona upo bize kutetea ujinga mkuuSio kweli, mbona viwanda vya sukari,vya karatasi njombe ,nk utumia,
Vitaje viwanda vilivyofungwa kwa sababu ya mgao mdogo wa umeme enzi za jiwe tafadhali . Natanguliza shukraniViwanda vilikua na adha hii toka kipindi cha hayati. Kipindi cha hayati umeme mwingi ulikua unaelekezwa kwa wananchi na viwandani wanapewa kwa mgao. Viwanda vingi tu huko tanga vilifungwa.
Bado serikali yetu ina siasa chafu kwa kuyapa kipaumbele mambo yasiyo muhimu na kuacha muhimu yapite
Wajinga ndio huwa hawana solution juu ya matatizo yao.Werevu utafutaNaona upo bize kutetea ujinga mkuu
Nimekaa hapa nasubiria akutajie hivyo viwanda ili uniite nyauBrother mbona Simple nitajie viwanda vilivyo fungwa Tanga?
Kimapato Enzi za Magu ndio kulianza kuwa ana mapato mengi ,kabla ya Magu hatukuwahi kufikisha 1T per Month, baada ya Magu kila mwaka mapato yalikuwa yana ongezeka akavuka mpaka 1.5T nao mapato yanavuka 2T.
Report ya CAG haiangalii mapato bali inakagua hela zinazotolewa na serikali kwa taasisi zake na miradi mbalimbali, CAG hausiki kabisa na mapato.
Kama kweli mfuatiliaji hivi nitajie main reason ya mapato ya Tz kupanda? Ndipo utajua kipindi cha Magu Tanesco waliingiza hela ndefu na si Tanesco taasisi zote ziliingiza hela ndefu ila Tanesco huwezi kuiona hela sababu wana madeni makubwa.