Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Habari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M.
Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye Cc 1490.
Kiukweli naejoy sana hiki chuma, comforatbility ya kutosha, muonekano mzuri na isitoshe mafuta ndo hakuna stress. Niliweka mafuta ya 50 kutoka Dar mpaka Moro na bado yakabaki.
Kwa wewe unayetafuta gari ya kuanzia maisha achana na hizo passo sijui vitz vuta premio utakuja nishukuru badae.
Asikwambie mtu, Premio tamu wakuu.