Asikwambie mtu, Premio tamu

Asikwambie mtu, Premio tamu

Hello
Nimekuwa na hii gari kwa miaka 2 sasa
Yenye 1nz engine code
Highway kupata 16km/l inakataa ila 15.1 to 15.2 naipata na ikiwa town napata 14km/l.
Iko fair kwenye consumptio
Lakin the same engine 1nz 1490cc
Kwenye ist unapata 17km/l
 
Hello
Nimekuwa na hii gari kwa miaka 2 sasa
Yenye 1nz engine code
Highway kupata 16km/l inakataa ila 15.1 to 15.2 naipata na ikiwa town napata 14km/l.
Iko fair kwenye consumptio
Lakin the same engine 1nz 1490cc
Kwenye ist unapata 17km/l
Wataalam tuambien hii
 
Back
Top Bottom