Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Huyo ndio mke wa ujana wako lazima uone ana kitumbua kitamu kuliko wanawake wote.Habari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M...
Huko kwenu mafuta ni buku?Niliweka mafuta ya 50 kutoka Dar mpaka Moro na bado yakabaki.
Mkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.Huko kwenu mafuta ni buku?
Nakuona mkuu umeipaki mashine yako karibu kabisa na dirisha ili kila saa uwe unaitupia jicho.Hizo ni raha za gari mpya,hata kama ni used,zile siku za mwanzoni huwa inakuwa tamu sana,hongera ...Habari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M...
Na angefunga system ya gesi,angetumia kama 17,000 kwenda Moro na kurudi na bado angebakiwa na kilomita kadhaa za kuzunguka mjiniMkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.
Premio lita 1=12km
So lita 16x12=192km
So anafika bila shida kabisa
Gas system yenyewe kwa kufunga si ghali sana?Na angefunga system ya gesi,angetumia kama 17,000 kwenda Moro na kurudi na bado angebakiwa na kilomita kadhaa za kuzunguka mjini
Ndiyo kwakweli kufunga ndio shughuli,kuna mdogo wangu kafunga juzi ana vitz kwa milioni mbiliGas system yenyewe kwa kufunga si ghali sana?
Benzi ni crown iliyochangamkaPremio ni Crown iliosinzia.
πππBenzi ni crown ilitochangamka
Nilijua tu lazima wawepo wa kumdiss mleta mada. Ukute huyu anayesema MVUTOLESS hata hiyo Premio hana. Dunia hii imejaa vimbwanga, Wallah!!!Kwa kweli kwangu Mimi katika Gari ina shepu mbaya kabisa yaani Ni "mvutoless" Ni hio Premio. Samahani lakini boss.
Huo ni ukweli ulio wazi. Na huwezi kununua gari nzuri kuliko zote duniani. Tunalimitiwa na uwezo wa kifedha. Kwa kuwa ameridhika na Premio, hiyo inatosha kwake!Hongera mkuu maana ndo gari yako ya kwanza lkn nakuhakikishia kuna chuma zaidi ya hiyo
Premio 1L inaenda 16km kwa highway. Ninayo mwaka wa 8 huu sasa. Anachosema ni kweliMkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.
Premio lita 1=12km
So lita 16x12=192km
So anafika bila shida kabisa
Premio 1L inaenda 16km kwa highway. Ninayo mwaka wa 8 huu sasa. Anachosema ni kweli