Premio anakupa zaidi ya 12km/l bila shaka. Ni zaidi ya 12km/lMkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.
Premio lita 1=12km
So lita 16x12=192km
So anafika bila shida kabisa
Inategemea...highway ndio ni zaidiPremio anakupa zaidi ya 12km/l bila shaka. Ni zaidi ya 12km/l
16km/l hio ni urban trips au highway?Inategemea...highway ndio ni zaidi
Premio niitoe wapi fogo,Niko natembeza pumbuh tu hapa mjini mkuu.Nilijua tu lazima wawepo wa kumdiss mleta mada. Ukute huyu anayesema MVUTOLESS hata hiyo Premio hana. Dunia hii imejaa vimbwanga, Wallah!!!
Madalali wanakwambia chumba na sebuleKwangu mimi sienta naielewa sana
Kwani inauzwa bei gani mkuu.Duuuh Million 16.5...??? kuna watu hamjui kujadiliana bei ya vitu...
Gesi angefunga bure?Na angefunga system ya gesi,angetumia kama 17,000 kwenda Moro na kurudi na bado angebakiwa na kilomita kadhaa za kuzunguka mjini
Mkuu labda ukiagiza ndo utapata haueni ya bei ila kama hauna subira kama sisi.. lazima uvunje kububu tu.Duuuh Million 16.5...??? kuna watu hamjui kujadiliana bei ya vitu...
Kwani inauzwa bei gani mkuu.
Upo sahihi mkuu, showroom wanalalia sana, sema uzuri wa Premio hata baada ya miaka 5 ukija kuiuza huko 10MMkuu labda ukiagiza ndo utapata haueni ya bei ila kama hauna subira kama sisi.. lazima uvunje kububu tu.
Hii inaitwa..."First Car Fever"Habari wakuu!
Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M.
Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye Cc 1490.
Kiukweli naejoy sana hiki chuma, comforatbility ya kutosha, muonekano mzuri na isitoshe mafuta ndo hakuna stress. Niliweka mafuta ya 50 kutoka Dar mpaka Moro na bado yakabaki.
Kwa wewe unayetafuta gari ya kuanzia maisha achana na hizo passo sijui vitz vuta premio utakuja nishukuru badae.
Asikwambie mtu, Premio tamu wakuu.
Gari ni matunzo! Na uendeshaji wako pia. Iko Namba C ila ukiiendesha utasema mpya.Hii inaitwa..."First Car Fever"
Ball joints zikishaanza kulia lia na vitu vingine, utaliona lakawaida sana..
Huu ni Muda wa kula ladha ya crown sasaPremio ni Crown iliosinzia.
Anabakiza na ya kuwazungukia mademu wa kiruguruMkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.
Premio lita 1=12km
So lita 16x12=192km
So anafika bila shida kabisa
Mungu aendelee kukubariki sanaHabari wakuu!