Asikwambie mtu, Premio tamu

Dah yule jamaa mimi pia namfatilia vyemaa sana, bei zake hata mimi zinanistaajabisha. Honda PCX anaiuza 3.2 - 3.8M mixer usajil na bima na imetembea km kiduchu sana.

Naangaliaga comments ila sioni wateja wanaoleta feedback
Aisee inabidi kumfanyia scrutinization ya Maana,hizo Bei za hizo bikes naona hata ukiwa nje huzipati kwa pesa hizo.

Wasiwasi ndio akili aisee,ngoja tuone na wadau wengine wana-experience gani na huyo msela.
 
Ukiweka gesi gari lazima liwe zito, boot storage lazima ipungue..kwaio gesi ikiisha unabadilisha mtungi?
Ni kweli buti storage inapungua lkn faida ni kubwa unasave hela,haubadilishi mtungi Ila unajaziwa juu Kwa juu
 
Namjua. Kimbia kaka.

Tuliona KTM Duke moja anauza bei ya TVS aisee. Kimbia kaka.

Ukitaka sport/street bike niambie aisee. Kuna wahindi nawajua wanauzaga ila wanazozitumia unawavua lakini achana na uyo jamaa.
 
Namjua. Kimbia kaka.

Tuliona KTM Duke moja anauza bei ya TVS aisee. Kimbia kaka.

Ukitaka sport/street bike niambie aisee. Kuna wahindi nawajua wanauzaga ila wanazozitumia unawavua lakini achana na uyo jamaa.
Aisee shukrani sana sana bro,nilipata sana shaka na bei zake wkt Bei ya nilichokua nakitafuta najua ni kubwa Sana.

Nitakutafuta at the right time bro,🙏🙏
 
Huyo ndio mke wa ujana wako lazima uone ana kitumbua kitamu kuliko wanawake wote.
Anuway libamize bamize kabla hujafunguka macho kuamua kuonja vyuma vingine.
Nakupongeza ni mwanzo mzuri
Khaaaa [emoji28][emoji848][emoji87][emoji1787][emoji119]jmn
 
Mkuu kwa 50k unapata lita 16 za petrol kwa Dar. Na kutoka Dar hadi Moro ni wastani 180km.
Premio lita 1=12km
So lita 16x12=192km
So anafika bila shida kabisa
Premio 1.5L lita 15km
 
Sedan inakuaje tamu?
 
Vipi Toyota corolla ya mwaka 2005??
 
Na angefunga system ya gesi,angetumia kama 17,000 kwenda Moro na kurudi na bado angebakiwa na kilomita kadhaa za kuzunguka mjini
Achana na hii kitu,tumia petrol full stop tusiongee sana
 
Mkuu ulikula gari?mabati hayakukukata[emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…