Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

BOMA= BRITISH OVERSEAS MILITARY ADMINISTRATION
 
Mbeya= Ibheya..wenyeji walienda kutafuta ama kununua chumvi.
TUKUYU = kulikuwa na miti midogo mitatu aina ya Mikuyu, ambapo wenyeji waliweka bidhaa zao kwa biashara walipaita Patukujhu.
KYELA= ikyela (chuma)
SUMBAWANGA =tupa uchawi..
 
Keep in zero (waswahili kiponzelo)

Long tree ( waswahili lilongoti )
 
Ngoja niendelee kupata mafaida kwenye huu uzi
 
Kiboriloni...keep rolling
Arusha... rarusa(kimaasai) mzungu akashindwa kutamka
Mzumbe...ensumbe mzungu alishindwa kutamka..hii inahistoria kidogo mpaka naona uvivu kuandika.
Olduvai...Oldupai
Cairo....gailo kimaasai(sina uhakika)
Ha haaaaa
 
Kiboriloni...keep rolling
Arusha... rarusa(kimaasai) mzungu akashindwa kutamka
Mzumbe...ensumbe mzungu alishindwa kutamka..hii inahistoria kidogo mpaka naona uvivu kuandika.
Olduvai...Oldupai
Cairo....gailo kimaasai(sina uhakika)
umenikumbusha home kbs KB nimepamis mno
 
Si ya nyaga maana yake kisukuma nchi ya upepo wazungu wakashindwa kutamka wakasema shinyanga
 
Duh, uzi wa siku nyingi huu! Inawezekana kuna wachangiaji wa huu uzi wamesharest in peace hapa! Live longer mliopo hai, R. I. P waliokufa. Shekilango=sheikh kilango. Kawe=car way.
Mmmmhh siyo cow way =kawe???
 
Pangani linatokana na lugha ya kizigua, "wapangani hano" yaani wapangeni hapa( watumwa)
 
Jina la karasha ni kila sehemu palipokuwa pamejengwa mashine za kusaga mawe, ipo kilwa eneo la nangurukuru, hoteli Tatu kwenda Lindi, barabara ya tunduma eneo la mpemba, njia panda kwenda hospitali ya misheni mbozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…