Pamoja. Kitabu kilichapishwa mara ya kwanza mwaka 1957. Hizo zingine zitakuwa ni matoleo maalum. Stori itakuwa bado ni ileile.Asante Mkuu. Naona zipo version tatu ya kwanza ni ya 1971, ya pili ni ya 2005 na ya tatu ni ya 2010. Ni some ipi ?
Sawa tumekumanyaPale Barabara ya Msimbazi inapokutana na Barabara ya Nyerere, pamezoeleka kwa jina la "Kamata". Baadhi ya vijana, hawaelewi kwa nini panaitwa hivyo. Wengine mpaka wanajiuliza nani akamatwe?
Miaka ile ya zamani, serikali ilikusudia kujenga Ujamaa na Kujitegemea. Na kufikia ndoto hiyo, ililazimu kukata "mirija" ya "makupe" wanyonyaji wote, yaani "mabepari". Na hivyo serikali kuanzisha biashara mbalimbali ili kufikisha huduma karibu kabisa na wananchi.
Mojawapo ya kampuni hizo ilikuwa ni kampuni za mabasi za mikoa, na lile baba lao, Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA).
Hiyo kampuni ya KAMATA ilikuwa na makao makuu yake pale kwenye jengo lililo makutano ya Msimbazi/Nyerere.
Ndio kisa cha eneo hilo kujulikana kama KAMATA.
Umenifahamu?
Asante sana. Ngoja nianze na 1971 iliyokaribu na original (1957).Pamoja. Kitabu kilichapishwa mara ya kwanza mwaka 1957. Hizo zingine zitakuwa ni matoleo maalum. Stori itakuwa bado ni ileile.
Hicho kitabu, japo cha hadithi, ni cha kifalsafa. Kama dibaji ya falsafa ya Ayn Rand, video ifuatayo inaweza kuwa ya manufaa.Asante Mkuu. Naona zipo version tatu ya kwanza ni ya 1971, ya pili ni ya 2005 na ya tatu ni ya 2010. Ni some ipi ?
More introduction to Objectivist Philosophy put forward by Ayn Rand.Asante sana. Ngoja nianze na 1971 iliyokaribu na original (1957).
Asante sana nimejifunza kitu.More introduction to Objectivist Philosophy put forward by Ayn Rand.
Ila ndoto za wazee wetu nazo zilikuwa na walakini,Pale Barabara ya Msimbazi inapokutana na Barabara ya Nyerere, pamezoeleka kwa jina la "Kamata". Baadhi ya vijana, hawaelewi kwa nini panaitwa hivyo. Wengine mpaka wanajiuliza nani akamatwe?
Miaka ile ya zamani, serikali ilikusudia kujenga Ujamaa na Kujitegemea. Na kufikia ndoto hiyo, ililazimu kukata "mirija" ya "makupe" wanyonyaji wote, yaani "mabepari". Na hivyo serikali kuanzisha biashara mbalimbali ili kufikisha huduma karibu kabisa na wananchi.
Mojawapo ya kampuni hizo ilikuwa ni kampuni za mabasi za mikoa, na lile baba lao, Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA).
Hiyo kampuni ya KAMATA ilikuwa na makao makuu yake pale kwenye jengo lililo makutano ya Msimbazi/Nyerere.
Ndio kisa cha eneo hilo kujulikana kama KAMATA.
Umenifahamu?
Inasemekana madereva walikuwa na wasichana wao hapo ambao lazima wasimame kuwasalimia.
Asante, mkuu. Kweli Kiranga ndiye mlengwa.Nadhani ulikusudia kumtag Kiranga .
Subjectively: Nimeshtushwa kwa namna US ilivyofanikiwa kumrubuni raia wa iliyokuwa Soviet kiasa cha
kumfanya nguli wa kupiga propaganda za kuinua 'u-capitalism' kwa ari ya hali ya juu.
KAMATA "haikuanzishwa" na serikali kwa ajili ya kukata mirija kama unavyosema bali ilitokana na kuvunjwa ka kampuni ya mabasi ya Dar es Salaam Motor Transport (DMT) iliyotaifishwa na kuwa makampuni mawili ya Kampuni ya mabasi ya Taifa (KAMATA) ambayo ilikuwa imepewa njia za bara tu, na kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) kuwa ya kusimamia njia za Dar es Salaam tu. KAMATA iliendelea kutumia rangi za DMT na hata nembo yake zilikuwa karibvu sawa, D ikiwakilishwa na KA, M ikiwakilishwa na MA na T ikiwakilishwa na TA. Ila UDA yenyewe ilikuwa na nembo na rangi zake tofauti kabisaPale Barabara ya Msimbazi inapokutana na Barabara ya Nyerere, pamezoeleka kwa jina la "Kamata". Baadhi ya vijana, hawaelewi kwa nini panaitwa hivyo. Wengine mpaka wanajiuliza nani akamatwe?
Miaka ile ya zamani, serikali ilikusudia kujenga Ujamaa na Kujitegemea. Na kufikia ndoto hiyo, ililazimu kukata "mirija" ya "makupe" wanyonyaji wote, yaani "mabepari". Na hivyo serikali kuanzisha biashara mbalimbali ili kufikisha huduma karibu kabisa na wananchi.
Mojawapo ya kampuni hizo ilikuwa ni kampuni za mabasi za mikoa, na lile baba lao, Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA).
Hiyo kampuni ya KAMATA ilikuwa na makao makuu yake pale kwenye jengo lililo makutano ya Msimbazi/Nyerere.
Ndio kisa cha eneo hilo kujulikana kama KAMATA.
Umenifahamu?
Ndio kuanzisha kwenyewe. Kwa kuvunja kilichokuwapo. Mf., serikali ilianzisha TBC kwa kuvunja RTD...ilitokana na kuvunjwa ka kampuni ya mabasi ya Dar es Salaam Motor Transport (DMT) iliyotaifishwa
Kutaifishwa ndio kukatwa mirija kwenyewe kulikokusudiwa, kwani 'makupe' 'mabepari' hayangeweza tena kunyonya faida itokanayo na kampuni iliyokuwa yao. Faida yote ingeenda kwa taifa zima 😳 kwa manufaa ya wote...iliyotaifishwa na kuwa makampuni mawili ya Kampuni ya mabasi ya Taifa (KAMATA) ambayo ilikuwa imepewa njia za bara tu, na kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA)
Hilo jina silipendagi,ababu pale kamata kama unaelekea airport from towb lazima ukamatwe kwenye foleniPale Barabara ya Msimbazi inapokutana na Barabara ya Nyerere, pamezoeleka kwa jina la "Kamata". Baadhi ya vijana, hawaelewi kwa nini panaitwa hivyo. Wengine mpaka wanajiuliza nani akamatwe?
Miaka ile ya zamani, serikali ilikusudia kujenga Ujamaa na Kujitegemea. Na kufikia ndoto hiyo, ililazimu kukata "mirija" ya "makupe" wanyonyaji wote, yaani "mabepari". Na hivyo serikali kuanzisha biashara mbalimbali ili kufikisha huduma karibu kabisa na wananchi.
Mojawapo ya kampuni hizo ilikuwa ni kampuni za mabasi za mikoa, na lile baba lao, Kampuni ya Mabasi ya Taifa (KAMATA).
Hiyo kampuni ya KAMATA ilikuwa na makao makuu yake pale kwenye jengo lililo makutano ya Msimbazi/Nyerere.
Ndio kisa cha eneo hilo kujulikana kama KAMATA.
Umenifahamu?
Angalizo: Mwandishi ametumia mda mwingi kujenga wahusika wake. Hali kadhalika, kuandaa muktadha wa hadithi yake. Kwa hiyo unaweza kukuta msuli kidogo unahitajika mwanzoni kuupata muktadha. Kadhalika, masuala ya mahusiano nayo kayaweka kwenye hadithi, yanaweza kuwa ni tangent from the story. Lakini ukiondoa hayo, kitabu chake ukikisoma mpaka mwisho utaweza kubaini ni kwa nini kimekuwa mashuhuri hata miaka zaidi ya sitini baadaye...Asante sana. Ngoja nianze na 1971 iliyokaribu na original (1957).
Utani kidogo: Atakubali kwa sababu hatahusishwa na wale waliokuwa wanalazimisha mabasi ya mikoani yafie Singida, lakini asubuhi yanapona bila kutengenezwa na safari inaendelea.Nikuulize tu, ulikuwa unafanya kazi UDA?
haiwezekaniPatajengwa Flyover, nasikia.