Sawa mkuu.Unasema una mifano ya majina mengi halafu unatoa minne tu
Nilitegemea utaorodhesha maeneo mengi.ngoja waje watalaam kwanza tuongeze maneno Kisha tutajadili
Unamjua Emanuel kasomi mwite na mwenyewe aje
Na mikocheni je?Kariakoo- Carrier Corps
Kawe- Cows Way
Tuendelee kumngoja hakuna namna🤣🤣🤣 Ngoja tumungojee
Kweli kabisaTuendelee kumngoja hakuna namna
Sehemu nyingi siyo nadharia bali ni uhalisia.Hizo ni nadharia hii inatokea sehemu nyingi.
Karibia kila eneo utasikia wazungu walishindwa kutamka vile wakatamka hivi.
Asante mkuu kwa maelezoSehemu nyingi siyo nadharia bali ni uhalisia.
Mfano-Asili ya Kiboroloni ilikuwa ni Kibo Alone,Kariakoo ilitokana na neno Carrier corps,Chekereni lilitokana na neno Check Railway nk.
Mkuu madini kama haya unaweza shiriki kwenye uzi huu Kwa nini Wazungu tu?Sehemu nyingine ziliitwa majina kutokana na mazingira yenyewe-Example Magomeni Mapipa,Miaka ya nyuma sana,Kila nyumba huo mtaa ilikuwa imejengwa kwa mabati ya mapipa,hii ikapelekea kuzaliwa neno jipya La mtaa wa mapipa
Sehemu zote..ila ukiwa na uzoefu zaidi changiaNjaro ni kichanga cha wapi, Machame, vunjo, au Rombo?
Umwongea ukweli mtupu.Kwa kifupi, jikumbushe pia na mbinu waliyotumia wakoloni kudhalilisha tamaduni zetu na kubadili kabisa 'mind set' za watawaliwa.
Dini, tamaduni, mila na desturi za waAfrika wazawa zikatwezwa na kuonekana kila cha mzungu ni cha maana hata kama alikosea.
Na huo ukoloni wa kifikra unaendelea hadi leo vichwani mwa waAfrika walio wengi, kuona kila cha mzungu iwe dini, lugha, tamaduni nk nk hata kama kimekosewa, kuwa ndivyo vilivyo bora na mahususi hata kama ni vibaya na havitufai!
Tata taita tanga na msitu wa nyika,Mzungu, Oh "Tanganyika"Sehemu nyingi siyo nadharia bali ni uhalisia.
Mfano-Asili ya Kiboroloni ilikuwa ni Kibo Alone,Kariakoo ilitokana na neno Carrier corps,Chekereni lilitokana na neno Check Railway nk.
Yaani Kila sehemu wao walienda hata Geita walishindwa kutamka Keita wakaita Geita
Hiyo ni nadharia tena kwa upande wa pili kua wajerumani walikuja tanzania kufanya utafiti wa madini hivyo waliweka kituo maeneo hayo(kwa sasa Geita) ndipo project hiyo wakaita Gold Exploration In TanzaniaGold Exploration In Tanzania (GEITA)
Changia pengine una Madini zaidi.Zote hizo ni hadithi tu, haiwezekani jina lichanganywe Kichaga na kiswahili
Shukurani mkuu kwa nyongezaMusa Hassan > Msasani, eneo lililopo Dar es Salaam