Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

Unasema una mifano ya majina mengi halafu unatoa minne tu

Nilitegemea utaorodhesha maeneo mengi.ngoja waje watalaam kwanza tuongeze maneno Kisha tutajadili
Unamjua Emanuel kasomi mwite na mwenyewe aje
Sawa mkuu.
 
Hizo ni nadharia hii inatokea sehemu nyingi.
Karibia kila eneo utasikia wazungu walishindwa kutamka vile wakatamka hivi.
Sehemu nyingi siyo nadharia bali ni uhalisia.
Mfano-Asili ya Kiboroloni ilikuwa ni Kibo Alone,Kariakoo ilitokana na neno Carrier corps,Chekereni lilitokana na neno Check Railway nk.
 
Kwa mchango wa mdau.

Mfano-Asili ya Kiboroloni ilikuwa ni Kibo Alone,Kariakoo ilitokana na neno Carrier corps,Chekereni lilitokana na neno Check Railway nk.

Chanzo: John7371
 
Sehemu nyingine ziliitwa majina kutokana na mazingira yenyewe-Example Magomeni Mapipa,Miaka ya nyuma sana,Kila nyumba huo mtaa ilikuwa imejengwa kwa mabati ya mapipa,hii ikapelekea kuzaliwa neno jipya La mtaa wa mapipa
 
Kwa kifupi, jikumbushe pia na mbinu waliyotumia wakoloni kudhalilisha tamaduni zetu na kubadili kabisa 'mind set' za watawaliwa.

Dini, tamaduni, mila na desturi za waAfrika wazawa zikatwezwa na kuonekana kila cha mzungu ni cha maana hata kama alikosea.

Na huo ukoloni wa kifikra unaendelea hadi leo vichwani mwa waAfrika walio wengi, kuona kila cha mzungu iwe dini, lugha, tamaduni nk nk hata kama kimekosewa, kuwa ndivyo vilivyo bora na mahususi hata kama ni vibaya na havitufai!
 
Umwongea ukweli mtupu.

Ibada kwao, yetu ni tambiko
Sadaka kwao, zetu ni kafara (rejea ibrahim na isaka na ibrahim aliona poa tu. Means kilikua kitu cha kawaida ndio maana hata isaka hakubisha)
Tamaduni zao, zeru tunaita ushamba.

Ni mengi sana na wanaojiita wasomi ndio hawaelewi kabisa.
 
Zote hizo ni hadithi tu, haiwezekani jina lichanganywe Kichaga na kiswahili
 
Gold Exploration In Tanzania (GEITA)
Hiyo ni nadharia tena kwa upande wa pili kua wajerumani walikuja tanzania kufanya utafiti wa madini hivyo waliweka kituo maeneo hayo(kwa sasa Geita) ndipo project hiyo wakaita Gold Exploration In Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Back
Top Bottom