ππ hii comment itageuka uzi.Kwa hiyo ukapewa hilo la STROKE. Hatari bin fire!
Nyumbani maranyinyi naitwa WEWEMkuu kwa maana hiyo una jina kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ya shule??
Kuna watu wanatumia majina tofauti shuleni/nyumbaniMkuu kwa maana hiyo una jina kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na ya shule??
π Kwahiyo kabla hujaanza shule ulikua huna jina mkuuNakumbuka nilipewa jina na wazazi pale nilipoanza Shule ya msingi
Kasema anaitwa WEWEE. ππππKuna watu wanatumia majina tofauti shuleni/nyumbani
π Kwahiyo kabla hujaanza shule ulikua huna jina mkuu
lakini Yesu alisema ingalikuwa heri asingalizaliwASijawahi sikia mtu anaitwa Yuda Iscariote hata kwa utani tu!
Sababu ni kuwa huyu jamaa ni msaliti. Lkn mmelishwa matango pori.
Huyo jamaa alikomboa ulimwengu. Asingekuwa huyu jamaa tusingepata Int. Bin msamaha wa dhambi.
I like my original name, siku nazaliwa Baba alipiga magoti kushukuru akawa anajiuliza ataniita nini likamjia wazo aniite N .. sifikirii kulibadilisha πππ
Neema
Hapo kuna kigugumizi km alikuwa anaelekea kubaya kwa nini yesu hakutaka kumuokoa?lakini Yesu alisema ingalikuwa heri asingalizaliwA
Sula la majina ya watoto kusema kweli ni kizungumkuti. Nilikutana na visa vya watu wawili wakielezea maana na jinsi walivyopata majina yao.Hivi majuzi ikabuka hoja jamaa anadai mwanae anataka kubadili jina kisa hajavutiwa na aina ya matukio aliyokuwa nayo mwenye jina kama lake.
Mzazi anadai aliamua kumpa jina hilo mwanae baada ya kusoma hadithi za mhusika kwenye biblia.
Kwa muda mrefu sasa wazazi wamekuwa na haki ya kwanza ya kuwapa watoto wao majina.
Lakini je ni wote ambao wanayafurahia majina waliyopewa na wazazi wao? Je, kubadili jina ni kuwakosea wazazi heshima??
Mimi langu naambiwa kilifanyika kikao cha familia ikapigwa kura, jina lililopendekezwa na wengi ndio nililopewa, kwa kuzingatia hilo na kwa maana ya jina lenyewe nikaona ni sahihi kuwa nalo.
Majina hubeba maana kubwa sana kimaisha hivyo ni mihimu anayelibeba aridhike nalo. Je jamii iendelee na utaratibu huu huu wa kuwapa wazazi haki ya kuendelea kuwapa majina watoto wao, au majina wanayopewa watoto yawe ya muda tu kusubiria kuidhinishwa na mhusika pale anapofikia umri wa kufanya maamuzi??