Asili ya Jina lako ni nini? Je, umeridhika nalo? Nilipigiwa kura

Asili ya Jina lako ni nini? Je, umeridhika nalo? Nilipigiwa kura

I think jina linabeba personality ya mtu kwa asilimia kadhaa.

Jina langu niliambiwa maana yake ni wise counselor.
So i think majina yanabeba personality kutokana na mind yako inavyotambua kwamba jina lako ndio "wewe" hivyo inaadopt maana ya jina bila wewe kujua.

Nadhani ni vizuri kwa wazazi kuangalia maana za majina kwa ajili ya watoto.
 
Shetani na Mungu waaongea na kupiga swaga km kawa.

Kwanza mwenzenu alikuwaga ikulu ya mbinguni. Km ridhiwani na magogoni.

Sasa mtamtisha nini? Anamjua Mungu fika. Tatizo lenu mnafanya dhambi hata kumpita. yeye mpaka anawashangaa

Ridhiwani hakuwahi 'kuishi' Ikulu Magogoni, hii imegeuza hoja yako kuwa porojo.!
 
Back
Top Bottom