I think jina linabeba personality ya mtu kwa asilimia kadhaa.
Jina langu niliambiwa maana yake ni wise counselor.
So i think majina yanabeba personality kutokana na mind yako inavyotambua kwamba jina lako ndio "wewe" hivyo inaadopt maana ya jina bila wewe kujua.
Nadhani ni vizuri kwa wazazi kuangalia maana za majina kwa ajili ya watoto.