Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Huwezi kutatua tatizo kwa kulikimbia ama kujifanya kuwa halipo, ukifanya hivyo jua unaliahirisha tu lakini lira akina palepale.
Angalia mfano wa Nchi ya Afrika Kusini, pamoja na jitihada kubwa ya kubalance elimu kati ya Blacks na Wazungu, imekuwa ikipelekea karibu nusu ya wadahiliwa ku-disco katika vyuo vikuu nchini humo. Fikiria kwamba darasa hapa Tanzania limedahili wanachuo 100 halafu 50 wafukuzwe kwa kufeli mitihani.
Mimi nimesoma UD, sikuwahi kujua vyema idadi ya wanaorudi kufanya Supplemantary lakini Nina uhakika hawakuwa wakifika theluthi (1/3) ya darasa. Lakini muhimu ni kwamba katika wanachuo wapatao 80 tulioanza Kozi ya PS & PA, wanachuo waliofukuzwa kwa kufeli hawazidi hata watatu (03).
Nani anajua sababu ya kufeli kwingi kwa wanachuo wa kiafrika huko SA?
 

Bro, asante sana kwa ufafanuzi wako ambao sasa unanileta kwenye kitu ambacho nimekuwa na kifuatilia kwa muda. Kumbe kulikuwa na watu weusi ambao wewe umesema hawakuwa waafrika (Good) kwani sifa ya mwafrika ni ipi mpaka akaitwa mwafrika? nadhani ni weusi wake. Lakini niulize ni nani aliyetuita waafrika? na kwa nini alituita waafrika?? hapa Napata picha Fulani. Maswali kama haya yakipatiwa majibu tunaweza kufahamu hao watu weusi walioishi afrika kisha wakahamia nchi mbalimbali na huko wakazaa na hao uliowaita 'Neanderthal' na kutoa products nyeupe huoni ni wana wa afrika???? kuna ushahidi kwa baadhi ya wazungu wanapotaka kufahamu originality yao wanapima 'Ancestry DNA" (kama nimepatia) wengi wao wanajikuta vizazi vyao vilitokea Afrika bila shaka hapa unaweza kunisaidia ilikuwa kuwaje.

Hata hivyo umenipa mwanga mkubwa kwa kile ninachokitafuta. Katika pita pita zangu nimeona na hii hapa pia ebu iangalie kwa ufahamu wako unaweza kutuambia jambo:


DNA from ancient remains has been used to reconstruct thousands of years of population history in Africa.

Researchers sequenced the genomes of 16 individuals who lived between 8,000 and 1,000 years ago.

The data shows how the invention and spread of farming had a major impact on the genes of people in Africa - just as it did in Europe and Asia.

The findings are published in the journal Cell.

The results suggest that populations related to the indigenous people of southern Africa had a wider distribution in the past.

This southern African-like genetic background is found in hunter-gatherers from Malawi and Tanzania in the east of the continent. These hunters lived between 8,100 and 1,400 years ago.

But the later spread of farmers from western Africa had a major impact on the genetic make-up of people in surrounding regions.

Further DNA analysis revealed the hunter-gatherers in eastern Africa had mixed extensively with the incoming farmers.

The researchers estimate that the mixing occurred between 8,000 and 4,000 years ago.

The study also found possible evidence of migration into Africa from the Middle East. About 38% of the ancestry of a 3,100-year-old livestock herder from Tanzania was related to ancient farmers from the Levant region.

"These results document a prehistoric population landscape that we didn't know about," said co-author Pontus Skoglund, from Harvard Medical School, US.

"They document how farmer and herder migrations swept through eastern and southern Africa."

The researchers also found tentative evidence of adaptive evolution - changes driven by environmental pressure - for genes involved in taste in the ancient individuals. These taste receptors are known to be important for detecting and learning to avoid poisonous plants.
 
Nakushukuru sana kwa kunisaidia kunifafanulia baadhi ya vitu ambavyo nimekuwa Nina wasiwasi wa kuvieleza nitakapoweka andiko jipya. Uzuri yote hayo nitayaelezea in data form ili mtu akitaka kuelewa zaidi kuhusu Kabila moja ndio nafafanua.
But nikiri wazi kuwa, pasipo mtu kukifahamu hicho ulichoandika, kamwe atashindwa kuelewa why baadhi ya makabila ni mazuri darasani kuliko mengine, ama kwa nini katika nchi zote za Afrika Mashariki ni Tanzania tu wanakopatikana jamii ya Bushmen (Khoi-San)?
 
Tunakula sana vyakula vilivyolala/viporo lazima akili ilale.
Ni bora na hata kula viporo. Mazingira ya Afrika yana changamoto nyingi kulinganisha na ya nchi za nje. Kutokana na maendeleo ya kisasa hasa ukuaji wa miji, umesababisha watu kutokuwa na picha nzuri ya maisha ya kiafrika yalivyokuwa kabla ya wakoloni.
Kwa taarifa yenu, katika mabara yote sita yanayokaliwa na binadamu, ni Basra last Afrika pekee ambako zaidi ya nusu ya wakazi wake wanaishi katika eneo lenye hali mbaya ya hewa likipata mvua ya wastani wa chini ya mm 1,000.
Kwingine kote kumeneemeka haswa, hasa like bara lenye watu wengi duniani la Asia (japokuwa eneo lililokaliwa na Waislamu kuanzia Pakistani hadi Syria Lina hali mbaya sana ya hewa).
 
Disability - adjusted life year for tropical diseases per 100,000 inhabitants:
These include trypanosomiasis (sleeping sickness), Chagas' disease, schistosomiasis (bilharzia), leishmaniasis, lymphatic filariasis and onchocerciasis.
  • North America, Europe & Asia [< 100].
  • South America [100 - 200].
  • Indian Sub-continent [300 - 400].
  • Most of South Saharan tropical region [500 - 700].
  • Central African Republic, Cameroon, Burkina Fasso, Niger & Uganda [900 - 1,000].
  • Tanzania, Ethiopia, Mozambique, Angola, Madagascar, Nigeria, Chad & Mali [1,000 - 1,500].
Hii ni taarifa muhimu sana kwa wachambuzi wote wa Intelligence, kuangalia namna Afrika inavyoathiriwa na magonjwa chronic kuliko mabara mengine. Lakini muhimu zaidi ni kuangalia nafasi ya Tanzania dhidi ya nchi nyingine za kiafrika na hata duniani kwa ujumla katika kuangalia jinsi watu wengi wanavyoathiriwa na mazingira hayo.
 
Kwenye post moja, nimeposti hii kitu, naiweka hapa kwa sababu mambo ni yale yale, kwa kujazia tu vitu tunavyosoma kwenye madarasa yetu hapa Tanzania havitukomboi tuweze kufanya shughuli zetu kwa kiwango cha juu kama matarajio ya uumbaji.

The post
''

Suala sio kwamba mzungu ana akili sana suala ni kwamba wenzetu wamejitambua mapema kuliko sisi. Na nchi zetu maskini mtu akijitambua baada kutumia kujitambua kwake kusaidia wengine wajitambue, anatumia kujitambua kwake kuwa kitega uchumi na kuwanyonya wenzake.

Mungu alituumba binadamu wote na mfumo sawa wa utendaji wa akili, ukiacha wale wanaozaliwa na laana, au mapungufu ambao ni sehemu ndogo sana ya jamii.

Tunavyokua, kutokana na mazingira tunayokulia, wengine akili zao zinakua vizuri sawa sawa na matarajio wakati wa uumbaji na wengine akili zao zinadumaa.

Kipi kinaimarisha akili nakufanya kazi sawa sawa na matarajio wakati wa uumbaji. Watu wa dini wana lugha yao kwamba kuna watu waliopo gizani na wengine wapo nuruni. Lakini hii ni lugha tu ya siri, uhalisia ni kwamba kuna watu utendaji wao wa akili uko juu (nuruni) na wengine utendaji wao wa akili uko chini (gizani). Kitu kikubwa cha kwanza cha kutambua wakati unapanga kuimarisha afya ya akili na hivyo kuweza kuvumbua vitu mbalimbali na kutawala ulimwengu ni kwamba tumeumbwa na asili mbili, Roho na mwili. Kwenye asili ya roho kuna asili ya roho ya dhambi na asili ya roho takatifu.

Kinachotokea hapa watu waliopo gizani, yaani utendaji kazi wa akili upo chini, kwa kuongezea yaani wapo jehanum, asili inayofanya kazi ni ya dhambi. Hii asili haiwezi kuleta mabadiliko makubwa duniani, ni asili ya mateso ndiyo ipo nchi maskini. Kwa hiyo ukitambua uwepo wa asili takatifu ya Mungu ya kiroho ambayo ukiifikia unakuwa nuruni yaani mbinguni, ndipo hapo utakapoitafuta kwa bidii na kila mtu ana kibali cha kuifikia bure bila kulipa gharama yeyote.

Tunaifikia vipi asili takatifu ya Mungu, kwa mabudha wana mfumo wao wa kuifikia hiyo asili takatifu ya Mungu, Mimi nimempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu kwa hiyo njia yetu sisi wakristo ni neno la Mungu. Watu waliopo gizani hawatambui tu neno la Mungu ni dawa ya akili. Ili upone unahitaji usome neno la Mungu mara nyingi kwa siku, kwa makini, kwa kurudia rudia, taratibu huku ukiweka dhamira ya kulitii.

Neno la Mungu litasafisha moyo wako, na hivyo kufufua asili yako takatifu iliyolala. Baada ya hapo utashangaa unaweza kukaa meza moja na Trump 'ukafanya arguments' kwa sababu siri za maendeleo utakuwa nazo na unaweza kufanya maendeleo.

Ukishaiponya akili kiroho, hapo sasa utajifunza mahitaji mbalimbali ya mwili ambayo ni chakula bora, mazoezi. n.k

Kwa hiyo napinga kwamba Mzungu ana akili zaidi yetu, ila neno analoishi nalo limeboresha afya yake ya akili ukilinganisha na neno tunaloishi nalo sisi.

Ambaye hajaelewa nasisitiza, nchi maskini sehemu kubwa ya raia wake wapo gizani, yaani wapo jehanum, yaani wana ugonjwa wa akili, yaani utendaji wa akili zao upo chini na tiba ni neno la Mungu''
 
Nakushukuru kwa post yako ambayo ina perspective ya kidini na usawa wa binadamu.
Hata hivyo, kwenye post umesema kuwa:
  • Wazungu wamejitambua mapema kuliko sisi. Walianzaje kujitambua, lini, wapi na kwa nini waliweza kujitambua? Je una uhakika wazungu walianza kujitambua kwa pamoja?
  • Umesema kutokana na mazingira tunayokulia, wengine wana akili wengine hawana. Swali, kama sisi tupo ndani ya familia moja, ama kijiji kimoja, ama kata, tarafa, wilaya, Mkoa, Kanda, Taifa na bara moja, mbona tunazidiana akili wakati sura na ngozi zetu zinafanana sana.
Najua kuwa, mwanadamu kamwe hawezi kuuelewa ulimwengu kwa kutumia approach moja ya ama kidini au kidunia. Hivyo ni vyema tufuate mtazamo wa kidunia kwa kuwa kidini, ukweli wa kitu (reality) unatokana na Imani lakini kidunia ukweli wa kitu (the reality) unatokana na "ushahidi."
Mungu alituumba na kutupa akili ya kutambua mema na mabaya, so tuzitumie kutatua changamoto za leo na za kesho. But we have to know our physical and psychological origin, in order to face our days' and tomorrow's challenges. We can't afford to ignore the past if we need to conquer our future.
 
Kabla sijaweka mada inayotuhusu sisi Watanzania pekee, nawaletea baadhi ya takwimu nilizokuwa nazikusanya kila napokutana nazo.
Malawi ni majirani zetu upande wa Kusini Magharibi tukiwa tumepakana nao kupitia mikoa ya Songwe, Mbeya, Njombe na Ruvuma.
Nchi hiyo kama zilivyo nchi karibia zote za kiafrika ina ukanda wa watu wenye akili nyingi za darasani kuliko maeneo mengine.
Eneo la Mkoa wa Kaskazini watu wengi smart sana kulinganisha na Mikoa ya Kati na Kusini ambayo ndiyo yenye watu wengi zaidi. Hali ya Mkoa kaskazini kutoa wasomi wengi kwenda elimu ya chuo kikuu ilipelekea Serikali ya Bingu wa Mutharika kuja na sera ya kuongeza kwa wingi udahili wa wanachuo ili kuongeza idadi ya wanachuo kutoka mikoa ya Kusini. Kilichotokea ni kuwa, wengi wa waliopelekwa vyuoni walifeli na kufukuzwa vyuoni.

Hata hapa Tanzania kulikuwepo tetesi za kufanyika kwa masuala haya kwa watu wa Imani fulani katika utawala uliopita ili walingane na wengine. Hata hivyo, Sera hizo huwa hazifanikiwi zaidi zaidi zinachangia chuki na utamaduni wa kujipendekeza kwa wakubwa kutokana na watu vilaza kupata kazi za juu kwa upendeleo baada ya kusoma kwa urahisi elimu ya chuo.
 

LET THE ANCESTORS SPEAK THEMSELVES: DRY BONES IN KINGS VALLEY:

sijui kwanini umeondosha ushahidi wangu wa comment yangu ya kwanza? halafu ulivyokuwa mchanga sana, sijui nianze wapi ili nisikuache. Lakini kwakua sina mda naomba soma kwanza ushahidi kuwa Wagriki, Warumi walipataje ustaarabu na elimu yao? wanafalsafa wao akina Aristotle, Heredotus, plato......... Mungu wao ni huyu hapa
kisha ikaja hii hapa

halafu hapa vipi

sijui niendelee?

hapa je unajua anafanya nini huyu hapa? anaegelezea ili ahadae wajinga kwamba kagundua, hapa ni Misri. Mzungu anakopy mambo ambayo babu zetu waliandika kwenye mawe, kumbuka hawawezi kufuta. leo naishia kwa hizi tu vielelezo. maana ni zaidi ya maelezo ya maneno.

Mwisho naomba nionyeshe ancient stone megastructure a.k.a PYRAMID, with stonebooks like in Africa in Europe. Na kwanini Wazungu waliwaita WAHUNZI kuwa ni BLACKSMITH kwa Kiingereza na Sio WHITESMITH?

wametumia DINI, MIFUMO DUNI YA MITAALA YA ELIMU NA MAUAJI MAKUBWA (BLACK CLEANSING), ili kudumaza akili, fikra na kutia woga wa kufa na hivyo weusi wakawa wafuasi wa wazungu wakaacha utamaduni wao ambao ulibeba mila na desturi ikiwamo dini zao na hapo ndipo anguko lilipotokea.

Kuhusu ujinga wako wa NASA na kujibu kwa fumbo hili hapa.... halafu soma bibilia Kitabu cha mwanzo Sura ya 1 mstari wa 6-11, haalafu uje hapa na upumbavu wa graphics za NASA. Acha kukariri fanya utafiti kwanza. wewe ni mtu muhimu sana katika mapambano haya ya maarifa.

WE NEED TO DO MORE RESEARCHES ON OUR ANCIENT CIVILIZATION IN ORDER TO BURST THE MIND OF THE YOUNG ONES.

THERE IS NO A THING CALED OUTERSPACE, WE ARE DOOMED HERE ON EARTH. NINA BOMU LA HAWA NASA AMBALO NIKILILIPUA HAPA, MTAKUA KIMYA MAISHA. THESE BASTARDS ARE LIAR WITH THEIR GRAPHICS.
 
Nakushukuru sana kwa mchango wako na jinsi ulivyoweka data muhimu kwa ajili ya uchambuzi. Hata hivyo unakosea sana kunikashifu kwa kuniita mjinga. Ulipaswa tu kuchangia made halafu tuwaachie members wengine waamue ukweli wao kwa sababu ukweli wako uko pale uwezo wa akili yako ilipoishia but hiyo haimaanishi akili yako ilipoishia ndio mwisho wa ukweli.
Nimeweka post hii kama mtu anayeifahamu jiografia na historia, hivyo jitafakari sana ujaribu kutumia lugha nyepesi na ambayo haileti character assassination.
Natamani mjadala huu uwe wetu wawili tu na mtu asitumie zaidi ya dakika tano awe amemjibu mwingine tuone ni nani anaeleza vitu anavyovifahamu kichwani na ni Nani amekariri.
 
Nimekuwa nashindwa kujibu vyema post yako kwa sababu natumia muda mwingi ukanda andiko linalohusu Tanzania, may be sooner or later nitaliweka tulijadili vyema.
Nirudi kwenye hoja zako:
Wewe unasifia watu weusi waliogundua vitu, mimi hakuna sehemu ambayo nimesema kila mtu mweusi hana akili na kila mtu mweupe Ana akili. Hili lilihitaji akili ndogo tu kuling'amua hivyo usitake kunilisha maneno.
Kujenga hoja kwa mtazamo wa Afro-centric hakukufanyi wewe kuupenda na kuuthamini ubinadamu wako ila kuogopa kujadili ukweli kunakufanya usiwe tofauti na watu wanaojifanya wamesoma lakini kila kitu kwao kinaongozwa na imani wala siyo kuthibitisha.
 
Kuna watu humu wanang'ang'ania kuhusisha ustaarabu wa Misri na sisi Waafrika. Hata kama walikuwa ni waafrika hakukuwepo mwendelezo unaonyesha kuwa na mahusiano na mabavu zetu wa Sub Saharan Africa kutokana na kuzuiwa kwa Jangwa la Sahara. Kama walikuwa wenzetu, una majibu ya kwa nini, huku Afrika hatukuwahi kuendeleza maendeleo yao baada ya Dola hiyo kuanguka?
 
Ukichukulia utamaduni wa Misri, fikiria eneo la Mashariki ya Kati na siyo kwetu Afrika. Kuna vitu vingi katika mazingira tumetofautiana nao sana. North Africa is much less an African than it's for Minor Asia.
 
Who is a black person? In short a black person is the one who is not white. Obama was the first black president of USA. However his father was black and a white mother yet he is classified as black. The same would happen when the father is white and a black mother so long as one of the parent is a mixed race. Asians are also non whites. There are some Asians eg Indians who are even more black in color than Africans and they are segregated on the basis of their color. The untouchable are also Indians yet due to caste system they are regarded as sub humans. The human race is thus divided into such groups by those who regard themselves to be superior to others. Whites, Asians, Reds, Blacks, Aborigines and Pygmies.
 
Thanx man for your piece of work.
Some people do believe that human being is by nature selfish, racist and sinful though others do believe that human being is by nature good but only polluted by the environment. You could say that the whites are responsible for racism and superiority complex but even ourselves are just as they're.
Anyway, we are dwelling on an individual quality but my post is about the society at large. As Isaid earlier, every society has intelligent people as well as less intelligent.
You could have one genius per 10,000 in a society while others have one per 100 only - which society is brighter?
 
Nasubiri hiyo ya watanzania
Sawa ngoja nijitahidi maana imechukua vigezo vingi na kila kigezo naki-rank kwa kila kabila.
Ninajua italeta shida na kukataliwa na wengi kwa sababu ya kutotaka kukubali ukweli unaouma.
La muhimu nachotaka kukumbusha hapa ni kuwa, kama ilivyo mimea na wanyama, binadamu nao ni vilevile kwamba watu huwa wanatamani mfano kukuza ng'ombe wa kisasa wa maziwa aina ya Friesian ama chotara wa Holstein-Friesian kutokana na asili ya mbegu ya ng'ombe huyo kutokea Kaskazini mwa Uholanzi na Visiwa vya Friesian (Uholanzi, Ujerumani na Denmark). Eneo hilo hasa Uholanzi ina Hali ya hewa bora kabisa kwa wanyama hao duniani.



Aidha, tembo anayeshikilia rekodi ya kuwa na pembe kubwa kuliko zote zilizowahi kurekodiwa duniani anatokea Mlima Kilimanjaro. Why?
 
Nasubiri hiyo ya watanzania
Watu kwa makosa huwa wanadhani wazungu wote wanalingana kwa akili, siyo nao wana utofauti mkubwa tu kama na sisi tulivyo huku Afrika. Sitaki kuwachanganya na ya Wazungu bali ni-focus kwenye Afrika yetu kwani ndiko mwanga wetu uliko.
Kwa hiyo, mada ya Tanzania nimepima kwa vigezo vipatavyo kumi na moja, vikiwemo vya: asili ya jamii husika (genetic origin - Semitic, Hamitic, Nilotic, Bantu, Negroid, San, Pygmy); hali ya hewa (mvua throughout the year); rutuba (volcanic); uwepo wa magonjwa ya asili (malaria, yellow fever, trypanosomiasis, schistosomiasis); vyanzo vya samaki (maji baridi, ya chumvi); vyakula vyenye lishe na vitamu (mchele wa Kyela); matunda matamu (machungwa ya Muheza) etc.
Hizo ni dondoo tu.
 
Naomba niulize swali la kizushi. Huwa kisayansi, inaelezwa kuwa, mahitaji makuu ya mwanadamu ni chakula, mavazi na malazi. Je unafahamu kuwa, binadamu waliobaki Afrika walichelewa sana kulala kwenye makazi ya kujenga kutokana na wao kuchelewa kutengeneza makazi ya pamoja kwa kuwa hawakuwa na utaalamu wa kulima hivyo kuishi mapangoni. Vilevile, kutokana na binadamu wa Afrika kuchelewa kufuga wanyama, pia walichelewa kuvaa mavazi kama wenzao waliotoka Afrika.
Kwa hiyo, binadamu aliyeishi Afrika, alikumbana na changamoto ya hali mbaya ya hewa, kuuawa na kuliwa na wanyama wakali ambao hawakuweko kwa wingi katika mabara mengine.
Wakati teknolojia ya Mesopotamia na Misri ya ujenzi wa mahekalu ya kisasa ilienea dunia nzima, haikufika Afrika na hivyo kufanya Waafrika (South of the Sahara) kuendelea kuishi mapangoni kwa muda mrefu baadaye.
Hivi ungetegemea jamii zilizoendelea kuishi mapangoni wakati wakoloni wanaingia, ziwe na akili kama sole zilizojenga nyumba za makazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…